Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Agano la Mungu ilikuwa ni kiumbe kitakachotoka kwenye viuno vya Ibrahimu na Sarah. Ndio maana Ismael aliezaliwa na Ibrahimu na kijakazi wao hakupewa heshima ya agano la nchi ya ahadi ila Ismael alipewa baraka zake binafsi.
Ismael na mama yake waliamrishwa kwenda maeneo ya mbali na sio kukaa karibu na maeneo karibu na Isaka. Walienda maeneo ambayo leo ndio jamii ya kiarabu na kiislam ilipo.
Hata kipindi Ismael alirudi kwa ajili ya msiba wa baba yake akung'ang'ania chochote bali alirudi maeneo yake ambayo alianrishwa kwenda.
Sasa mimi nashangaa hawa jamaa sijui ni yale maumivu ya kuachwa katika urithi wa nchi ya ahadi hadi sasa wakalazismisha kuivamia Israel, kutengeneza ngome yao na kujenga msikiti eneo lilipokuwa hekalu la kuabudu alilojenga Solomon.
Leo wenye nchi yao ya ahadi wanarudi eti tena wakaanza kuwafanyia vurugu na vita, cha ajaabu tangia 1948 Israel imesimama tena. Hii ni kwa sababu ndio eneo lao maalum nyie mnalazimisha.