Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

Huu ni ukwel kabsaa Mimi ni shahidi nimepata usafir wa tareh 24 achana na hao komba wanaosema Wewe ni Muongo mkuu
Watu ni wengi Sana hili linajulikana hata na serikali inajua mwez huu wale jamaa wanarud kwao tangu miaka mingi Ndiyo utamaduni wao Ndiyo maana wamepewa train

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
 
Ujinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
Lakini hata hivyo hawaendi Mwanza wanabaki Dar siku zote. Jijengee utaratibu wa kuwa na likizo na kwenda kuwasalimia wazazi ndugu jamaa na marafiki angalau mara moja kwa mwaka. Najua wasukuma wengi walio mjiji wanaogopa kwenda kijijini kwasababu nyingi lakini kubwa ni ndumba zilizopo usukumani.
 
Mkuu acha uongo alafu punguza sifa.
Usafiri wote umejaa ndg,mimi binafsi nitadabda fuso tu hakuna jinsi maana kuna taratibu fulani za kichama natakiwa kwenda kuzitekeleza ofisi kuu moshi mjini.
 
Lakini hata hivyo hawaendi Mwanza wanabaki Dar siku zote. Jijengee utaratibu wa kuwa na likizo na kwenda kuwasalimia wazazi ndugu jamaa na marafiki angalau mara moja kwa mwaka. Najua wasukuma wengi walio mjiji wanaogopa kwenda kijijini kwasababu nyingi lakini kubwa ni ndumba zilizopo usukumani.
Wazazi wote wawili ni wastaafu. Wametulia zao Mbezi beach wanakula pension yao. Watoto wote tumetawanyika. Msimu huu ndio tunakusanyika kwa wazazi kuwakutanisha watoto wetu na kuwachangamsha wazee. Sasa nipeleke watoto Mwanza au Moshi kwa nani wakati wenye wajukuu wanakula upepo wa bahari?
 
Back
Top Bottom