St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Ni zaidi ya amani kaka. Katika watu wanaofurahia ndoa zao mimi ni mmoja wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zaidi ya amani kaka. Katika watu wanaofurahia ndoa zao mimi ni mmoja wao.
ukiona mtu hataki kujenga kwao huyo ni mjinga na mpumbavu ,mm ni mgogo ,unaishi vizur mjini ukienda kwenu nyumba kama banda la mabata tubadilike
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemshtukia[emoji23][emoji23]Mkuu acha uongo alafu punguza sifa.
Sasa ungetaka waende dodoma kama mzee hana boma akawaweke wapi kwa jirani asikuambie mtu hakuna kitu kizuri na chenye baraka kama kula sikukuu na familia raha ya ajabu halafu cha kushanga huyo aliyeenda kula kwao akirudi ni mwendo wa kukimbiza sie tunaokomaa shida mwanzo mwisho ukipata tumiaNimekuja home nikakuta jirani yetu mchaga kabeba watoto wote kawapeleka Rombo, kamuacha mumewe mgogo maskini hana sauti juu ya mke. Ukilinganisha uwezo wao kiuchumi ni maskini, wanakula mlo mmoja kwa siku (ninachosema namaanisha). Na ni tabia endelevu hii kila mwaka anafanya hivi. Mume ambaye kwao Dodoma anamchukuaga mtoto mmoja na kwenda nae na hakawii kule, huyu mke anakusanya wote. Mke kama huyu si bora niwe single tu
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Sasa wakienda Moshi unapungukiwa na nini kwa mfanoUjinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
Kujenga mchezo hivi unafikiri hao hela za kujenga kwao hawana unaangalia na sehemu ya kujega mtu unajenga hata kupauwa bado ushazikwa inabaki historia ngozi nyeusi tabu sanaNmewakumbusha tuu maana nyie ni vilaza Bila kuamshwa usingizin hamtajenga kwenu Ndiyo maana hamtaki kwenda huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi wewe unaonekana umesoma lakini bado ni mshambaWazazi wote wawili ni wastaafu. Wametulia zao Mbezi beach wanakula pension yao. Watoto wote tumetawanyika. Msimu huu ndio tunakusanyika kwa wazazi kuwakutanisha watoto wetu na kuwachangamsha wazee. Sasa nipeleke watoto Mwanza au Moshi kwa nani wakati wenye wajukuu wanakula upepo wa bahari?
Usafiri wote umejaa ndg,mimi binafsi nitadabda fuso tu hakuna jinsi maana kuna taratibu fulani za kichama natakiwa kwenda kuzitekeleza ofisi kuu moshi mjini.
karani wa CCMChama gani hiko hakina magari mpaka mtumwa wake apande fuso kwenda kutekeleza shughuli za kichama? Unamiliki majukumu ya aina gani hadi wakupandishe fuso hao wa chamani kwako?
karani wa CCM
Yaani sasa wewe ndo unaongea kinyume cha uhalisia. Huyu mama baba yake alikufa kabla hata mtoto hajamtambua, mtoto huyo akalelewa ujombani na sasa ndo huwa anaenda uko ujombani ambapo wana uwezo wa wastani. Shida ni kubeba watoto wote wanne kwenda nao ukizingatia uchumi wa familia mdogo. Mumewe kwao Dodoma wazazi wote wapo lakini huwa anaepusha usumbufu wa kwenda na watoto wote maana mke huwa hataki kwenda kwao mumewe. Siwapangii kutoka katika hii familia kuna kitu kama mimi nisingewezaSasa ungetaka waende dodoma kama mzee hana boma akawaweke wapi kwa jirani asikuambie mtu hakuna kitu kizuri na chenye baraka kama kula sikukuu na familia raha ya ajabu halafu cha kushanga huyo aliyeenda kula kwao akirudi ni mwendo wa kukimbiza sie tunaokomaa shida mwanzo mwisho ukipata tumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakwambia wazazi wako jijini wanakula maisha. A classic family yenye uwezo kulingana na alivosema, sasa ulitaka aende kuwaona wazazi gani uko mkoani? Kila mtu anamfata mzazi wake au kuna wengine wanaenda ilimradi wameenda mkoani. Mshamba ni nani kati ya anayeacha wazazi Dar na kwenda kukaa tu mkoani na yule anayeamua kuwafata wazazi walipo. Mbona mnataka kuondoa uhalisia wa mambo kwa justifications za kawaida hivi
Sipungukiwi kitu mkuu. Napenda sana waende Moshi na huwa wanaenda sio kwamba hawaendi. Shida ni pale wanapotaka kulazimisha familia yangu ijumuike kwenye jumuiko la ukoo mwingine.
Wanaloga Sana waleKujenga mchezo hivi unafikiri hao hela za kujenga kwao hawana unaangalia na sehemu ya kujega mtu unajenga hata kupauwa bado ushazikwa inabaki historia ngozi nyeusi tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana hongera aiseNi zaidi ya amani kaka. Katika watu wanaofurahia ndoa zao mimi ni mmoja wao.
Nani alikuja kwako kukwambia hajajenga kwao?
............Punguzeni ujuaji.
Hahaaaa.....JF is never boringMkuu mbona umekuja kunisema huku .....
Aisee hahaaaa
Nachoweza kuwaambia ni kwamba kabila ya mtu haihusiani na tabia ya mtu.Stop generalization. Dunia imebadilika. Zamani tulikuwa tukisema wachaga kwa pesa hawana mchezo.Lakini siku hizi mpaka wamakonde wanaijua pesa. Tulisema mapenzi yamezaliwa Tanga, Lakini leo hii mpaka Wamang'ati wanajua mapenzi. Kwa hiyo linapokuja suala la kuoa wasiwabague wanawake wa kichaga. Na kwa kuongezea tu. Ukimpata mke aliyelelewa toka uchagani hutokaa ujilaumu maisha yako yote.Safi Sana hongera aise
Vp unawashauri nn hao wanaosema wanawake wakichaga hawafai kuolewa mkuu ebu sema neno Kaka
Sent using Jamii Forums mobile app