Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

Wazazi wote wawili ni wastaafu. Wametulia zao Mbezi beach wanakula pension yao. Watoto wote tumetawanyika. Msimu huu ndio tunakusanyika kwa wazazi kuwakutanisha watoto wetu na kuwachangamsha wazee. Sasa nipeleke watoto Mwanza au Moshi kwa nani wakati wenye wajukuu wanakula upepo wa bahari?
Mizizi imengolewa tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja home nikakuta jirani yetu mchaga kabeba watoto wote kawapeleka Rombo, kamuacha mumewe mgogo maskini hana sauti juu ya mke. Ukilinganisha uwezo wao kiuchumi ni maskini, wanakula mlo mmoja kwa siku (ninachosema namaanisha). Na ni tabia endelevu hii kila mwaka anafanya hivi. Mume ambaye kwao Dodoma anamchukuaga mtoto mmoja na kwenda nae na hakawii kule, huyu mke anakusanya wote. Mke kama huyu si bora niwe single tu

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Mkuu mbona umekuja kunisema huku .....
 
wakuu kwema?
nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa,cha ajabu nimeenda hapo ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24 mwezi huu.

Nikajipa matumaini ngoja nikakate ticket ya train, napo nimekuta train iko fully mpaka tarehe 24 mwezi huu, basi nikasema ngoja nivunje kibubu ili walau nichukue mwewe, lakini napo kila nikiangalia air Tanzania, Precision air na auric air na zenyewe ziko fully hadi tarehe 24. Hapo ikabidi nikae chini kwanza nitafakari, hawa ndugu zetu wachaga huko kwao wanaenda kufanya nini kikubwa mpaka usafiri unakua wa shida namna hii?

Nikaona nimpigie jamaa angu fulani hivi kumuulizia kama anaweza kuniunganisha na agent yoyote wa mabasi akaniambia maagent anaowajua wote nao wamesharudi kwao moshi, basi nikaona nidandie usafiri wowote tu, kwa hiyo sasa hivi niko hapa rombo kimara navizia Fuso zinazoelekea huko ili niondoke.

Aisee nyie wachaga noma sana.
Ulizia na magari ya Posta yanayobeba magazeti........huo ndio usafiri wa fasta kwa wachaga!
 
hapo sawa, ila huko kijijini huna baba mdogo ,babu mkubwa au mashangazi, ndio maana wenzetu wako mbali maana hua wakienda wanakua na kikao cha ukoo, sasa sisi wemgine watoto wa john ni wajohn watoto wa baraka sio wa john ,
Wazazi wote wawili ni wastaafu. Wametulia zao Mbezi beach wanakula pension yao. Watoto wote tumetawanyika. Msimu huu ndio tunakusanyika kwa wazazi kuwakutanisha watoto wetu na kuwachangamsha wazee. Sasa nipeleke watoto Mwanza au Moshi kwa nani wakati wenye wajukuu wanakula upepo wa bahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaambia bila wachagger maendeleo Tanzania ni ndoto mnabisha siku 10 ambazo wachagger hatupo mjini dsm angalieni mzunguko wa ela kam upo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.
Nikweli ndani ya mwaka mmoja wanakwenda makwao Mara moja tu tena wanakaa si zaidi ya siku ishirini tu, je wangekuwa wanaenda makwao kama jamii nyingine c tunge pata tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu kwema?
nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa,cha ajabu nimeenda hapo ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24 mwezi huu.

Nikajipa matumaini ngoja nikakate ticket ya train, napo nimekuta train iko fully mpaka tarehe 24 mwezi huu, basi nikasema ngoja nivunje kibubu ili walau nichukue mwewe, lakini napo kila nikiangalia air Tanzania, Precision air na auric air na zenyewe ziko fully hadi tarehe 24. Hapo ikabidi nikae chini kwanza nitafakari, hawa ndugu zetu wachaga huko kwao wanaenda kufanya nini kikubwa mpaka usafiri unakua wa shida namna hii?

Nikaona nimpigie jamaa angu fulani hivi kumuulizia kama anaweza kuniunganisha na agent yoyote wa mabasi akaniambia maagent anaowajua wote nao wamesharudi kwao moshi, basi nikaona nidandie usafiri wowote tu, kwa hiyo sasa hivi niko hapa rombo kimara navizia Fuso zinazoelekea huko ili niondoke.

Aisee nyie wachaga noma sana.
Kutambika mzee Baba, hakuna kingine sherehe za kuchinja na kufanya kafara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom