Endelea na Upumbavu wako Halafu huwez kumpangia mtu siku ya kwenda kwaoMwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.
Endelea na Upumbavu wako Halafu huwez kumpangia mtu siku ya kwenda kwao
Tulia kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wana wa Israeli lazima takwimu ziende vyema na Mungu aliagiza hilo.Wanarud kuhesabiwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ujinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.Huu ni ukwel kabsaa Mimi ni shahidi nimepata usafir wa tareh 24 achana na hao komba wanaosema Wewe ni Muongo mkuu
Watu ni wengi Sana hili linajulikana hata na serikali inajua mwez huu wale jamaa wanarud kwao tangu miaka mingi Ndiyo utamaduni wao Ndiyo maana wamepewa train
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni Wapumbavu Kwan mnalazimishwa kuoa hao wachaga washenz nyie vilazaUkitaka kufa haraka oa mchaga
Hivi mkuu Ulivo oa Huyo mchaga Kwan ulilazimishwa si ulipenda mwenyewe??Ujinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
Nmewakumbusha tuu maana nyie ni vilaza Bila kuamshwa usingizin hamtajenga kwenu Ndiyo maana hamtaki kwenda hukoWewe mbona unawapangia watu wajenge kwao?
Lakini hata hivyo hawaendi Mwanza wanabaki Dar siku zote. Jijengee utaratibu wa kuwa na likizo na kwenda kuwasalimia wazazi ndugu jamaa na marafiki angalau mara moja kwa mwaka. Najua wasukuma wengi walio mjiji wanaogopa kwenda kijijini kwasababu nyingi lakini kubwa ni ndumba zilizopo usukumani.Ujinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
Ilitokea tu kaka. Swali jingine?Hivi mkuu Ulivo oa Huyo mchaga Kwan ulilazimishwa si ulipenda mwenyewe??
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafiri wote umejaa ndg,mimi binafsi nitadabda fuso tu hakuna jinsi maana kuna taratibu fulani za kichama natakiwa kwenda kuzitekeleza ofisi kuu moshi mjini.Mkuu acha uongo alafu punguza sifa.
Wazazi wote wawili ni wastaafu. Wametulia zao Mbezi beach wanakula pension yao. Watoto wote tumetawanyika. Msimu huu ndio tunakusanyika kwa wazazi kuwakutanisha watoto wetu na kuwachangamsha wazee. Sasa nipeleke watoto Mwanza au Moshi kwa nani wakati wenye wajukuu wanakula upepo wa bahari?Lakini hata hivyo hawaendi Mwanza wanabaki Dar siku zote. Jijengee utaratibu wa kuwa na likizo na kwenda kuwasalimia wazazi ndugu jamaa na marafiki angalau mara moja kwa mwaka. Najua wasukuma wengi walio mjiji wanaogopa kwenda kijijini kwasababu nyingi lakini kubwa ni ndumba zilizopo usukumani.
Ukitaka kufa haraka oa mchaga
Hawajakuzuia wewe kujipangia muda wako, waache wajipangie taratibu zaoMwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.