Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

Mizizi imengolewa tayari



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona umekuja kunisema huku .....
 
Ulizia na magari ya Posta yanayobeba magazeti........huo ndio usafiri wa fasta kwa wachaga!
 
hapo sawa, ila huko kijijini huna baba mdogo ,babu mkubwa au mashangazi, ndio maana wenzetu wako mbali maana hua wakienda wanakua na kikao cha ukoo, sasa sisi wemgine watoto wa john ni wajohn watoto wa baraka sio wa john ,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaambia bila wachagger maendeleo Tanzania ni ndoto mnabisha siku 10 ambazo wachagger hatupo mjini dsm angalieni mzunguko wa ela kam upo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.
Nikweli ndani ya mwaka mmoja wanakwenda makwao Mara moja tu tena wanakaa si zaidi ya siku ishirini tu, je wangekuwa wanaenda makwao kama jamii nyingine c tunge pata tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutambika mzee Baba, hakuna kingine sherehe za kuchinja na kufanya kafara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…