Sijalazimisha mtu mzeeUwezi kulazisha watu wengine wawe wanaenda makwao kila mwishoni mwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
We Ndiyo una maana matako ww Punguan mwehu mkubwawachaga hawana maana
KweliSasa ungetaka waende dodoma kama mzee hana boma akawaweke wapi kwa jirani asikuambie mtu hakuna kitu kizuri na chenye baraka kama kula sikukuu na familia raha ya ajabu halafu cha kushanga huyo aliyeenda kula kwao akirudi ni mwendo wa kukimbiza sie tunaokomaa shida mwanzo mwisho ukipata tumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa!tutake radhi wamanda haki ya Mungu kaahhHII NI KAULI YA MTU AMBAYE HAENDI KWAO NA HUYU KWAO KAMA SIO KIGOMA BASI NI MANDA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hao ukifanya masihara mtoto anasahau asili yake chaga nomaa!yaani watoto wanajiita wachagaUjinga huu walitaka kuniletea Shemeji zangu(Mimi msukuma nimeoa mchaga) Nikawaambia hawa wanangu ni kina ngosha. Kama kusafiri wataenda Mwanza sio Moshi. Hasa kipindi hiki.
Wakuu kwema?
Nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa, cha ajabu nimeenda hapo Ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24 mwezi huu.
Nikajipa matumaini ngoja nikakate ticket ya train, napo nimekuta train iko fully mpaka tarehe 24 mwezi huu, basi nikasema ngoja nivunje kibubu ili walau nichukue mwewe, lakini napo kila nikiangalia Air Tanzania, Precision Air na Auric Air na zenyewe ziko fully hadi tarehe 24.
Hapo ikabidi nikae chini kwanza nitafakari, hawa ndugu zetu Wachaga huko kwao wanaenda kufanya nini kikubwa mpaka usafiri unakuwa wa shida namna hii?
Nikaona nimpigie jamaa yangu fulani hivi kumuulizia kama anaweza kuniunganisha na agent yoyote wa mabasi akaniambia maagent anaowajua wote nao wamesharudi kwao Moshi, basi nikaona nidandie usafiri wowote tu, kwa hiyo sasa hivi niko hapa Rombo Kimara navizia Fuso zinazoelekea huko ili niondoke.
Aisee nyie Wachaga noma sana.
basii mtanii huguswiii..??
Utapigwa mawe jifanye ujaona uunge mkono sifa
Wivu wa kiwango cha kisukumaMwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.
Mtanyooka tuu pumbavu zenuHawatofautiani na ule msafara wa nyumbu maana na wenyewe kwa mwaka Mara moja