Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

Ukiona mtu kakunyima namba jua hauna nafasi kwake

Siyo lazima
Ni kweli, ila mnatutesa sana; kwa nini msitupatie, ila linapokuja suala la mahusiano unakuwa muwazi tu.
 
Hamnga 45 kwisha kila ufanyacho unahema kama kamkusi kaliko kabwa na mlango
Hiyo ni nadharia tu, njoo kwenye uhalisia, mambo tofauti; wapo wanaokimbia huku wameshikilia kufuli mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…