Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

Ukiona mtu kakunyima namba jua hauna nafasi kwake

Siyo lazima
Ni kweli, ila mnatutesa sana; kwa nini msitupatie, ila linapokuja suala la mahusiano unakuwa muwazi tu.
 
Back
Top Bottom