Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

sio kua nimewashindwa... ila nimeamua kushindwa mkuu Kaizer

hahahahah kisa na maana ni nini?

1. mimisa ulimshindwa......alikuwa well above your level
2 Paloma unammezea mate japo unajua ni mke wa mtu
3. Passion Lady naona naye ameingia mitini japo ulikuwa unamvizia vizia
4. Baba V ameapa kukufanyia 'kitu mbaya" yeye na wanyakyusa wenzake Bujibuji watu8 eli Boflo na wengineo kwa kumendea wake zao
5 amu umemshindwa...

sasa ukweli ndio huo usiwe kama CUF bana......
 
Last edited by a moderator:
ndio nasubiri, kwani naogopa?
hata miaka na miaka nitasubiri...
hata hadi manyonyo yakiwa magotini nitasubiri tu......

masia ndio nani?!?!?
na wewe unamsubiri masia?!?!
basi kama unaweza kumsubiri masia....endelea kusubiri tu!
 
dah manoah rudi tu jukwaa la teknolojia wau wanakupa za uso humu sana

Back
Top Bottom