Hata akienda huko kwa nanii hanipati ng'oo
Bby kwani kuna nini?
​kawaida ya mawakala wa luciferi hahaa!Mie mzima shost, namshangaa huyu manoah anaetaka watu waachane
Hata akienda huko kwa nanii hanipati ng'oo
Vipi tena jamaniiii.............Nimenuna bby
Nimenuna bby
manoah,Jamani na nyie tenganeni mtuachie hata nafasi wengine......
1. watu8 na measkron
2. sosoliso na baby Paloma
3. Judgement na YNNAH
4. Madame B na Arushaone, Chimbuvu, na wengine walio baki kama komando, na Ben Saanane
hisani ya manoahAID ... Kamanda wenje alimaanisha urafiki na ccm na sio kama ule mlio ufikiria
4. Madame B alishaachwa na Chimbuvu, yupo mikononi mwangu kwa sasa.