Nyie wafuatao... mtaacha lini... ili nawengine wapate izo nafasi!

sio kua nimewashindwa... ila nimeamua kushindwa mkuu Kaizer


 
Last edited by a moderator:
ndio nasubiri, kwani naogopa?
hata miaka na miaka nitasubiri...
hata hadi manyonyo yakiwa magotini nitasubiri tu......

masia ndio nani?!?!?
na wewe unamsubiri masia?!?!
basi kama unaweza kumsubiri masia....endelea kusubiri tu!
 
dah manoah rudi tu jukwaa la teknolojia wau wanakupa za uso humu sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…