Nyie 'wala wake za watu'

Nyie 'wala wake za watu'

Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.

Kwanza hamna hata huruma?

Sometime wanaume tunaangushana
Wake zenu ni watamu aisee, asikwambie mtu. Ina maana wewe haujawahi kumla mke wako? Aisee mkeo ni mtamu sana, wallah mimi simuachi.
 
Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
Sasa hapa kila mtu ajitasmini kivyake. Kwa nini anachapa au anachapwa nje? Jibu nafsini mwako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeoEmbu

SIJUI KAMA UNALIJUA HILI.
UKIISHA LALA NA MWANAMKE, HATA KAMA ATAOLEWA, AKAWA MAMA KANISA, AKAWA NA CHEO, BADO NAFASI YA KUMLALA IPO PALE PALE, KWA SBB UKIISHA LALA NA MWANAMKE/MWANAUME TAYARI MNAKUWA KWENYE MAFUNGAMANO.
MWANAMKE AKIOLEWA, NI MARA CHACHE KUCHEPUKA NA MWANAUME MPYA, ILA WALE WA KABLA YAKO. NI KAWAIDA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.1 Kor 6:16

sasa kwa nini nishindwe kulala na niliyelala naye kabla, aliyeolewa?
Umetisha Sana mkuu
 
Mimi binafsi nishakula mke wa mtu ila huwa najutia Sana hicho kitendo.Mungu anisamehe bure na naapa sitokuja kuzini tena na mke au demu wa mwenzangu.

Ila na nyie wanawake muachege kututeka jamani.
 
Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.

Hoja yako ni nzuri mkuu. Usikilizwe
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
 
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.

Kwanza hamna hata huruma?

Sometime wanaume tunaangushana
Sasa wee hupendi kugongewa mkeo kwa nini labda tuanze hapo?
Inaelekea wee una roho ya uchoyo sana.
 
Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
Tena upate ambaye amegundua mume wake amecheat aisee utafaidi mpaka kisogo kunoga. Ni full uno au nasema uwongo Hannah 🤣🤣🤣🤣
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Safi kabisa tuzitafu e mbususu hizi bila shida yoyote. Wake za watu watamu bwana.
 
Tena upate ambaye amegundua mume wake amecheat aisee utafaidi mpaka kisogo kunoga. Ni full uno au nasema uwongo Hannah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani unapewa uno kama la feni mbovu. Na stail zote hadi za kuingiza kichwa uvunguni. Kila akikumbuka tu namna mume wake kamcheat anakwambia "baba ingiza yote" na mbwembwe kibao mara baby faq me harder and faster.
Yaani unapewa best sex ever. Ukimaliza anarudi zake nyumbani anamwambia mume wake amemsamehe.
 
Huyo Mwanaume atakayemsamehe atakuwa ni kichaa labda.
 
Hata usipokula ataliwa tu kama mliwaji, hakuna kanuni.
 
Back
Top Bottom