sijawahi kutamani mke wa mtu kabisa, na hata nikijua huwa nakacha fasta na ndio maana kila nayekutana nae huwa nauliza umeolewa ama la? akijibu ndio, ni block moja kali , ila hawa wengine sijui uchumba, sijui nina wangu, nimezaa naye, sinaga habari na hizo depo mi napita na zote hamna nayoacha kula. . .
kuna mmoja hivi alikataa kata kata, nilikuja kugundua baadae baada ya kumaliza kila kitu tena kwa rafiki yake, nilimkacha papo hapo.
Hiyo haimanishi kuwa Mke wangu huko mbeleni kama hatojielewa watu hawatoishi, bali ni misimamo yangu na nafanya hivyo sio kisa wangu asiliwe. chochote kitachotokea huko mbeleni ntapambana na hali yangu. ila mke wa mtu NO