Nyie Wamakonde Vipi?

Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!

Najiuliza why wako hivi?
 
Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!

Najiuliza why wako hivi?
Hahaaa, wanachukulia poa tu hakaf wanachekacheka kama siyo ishu vile. Nadhani ndiyo walivo tu
 
hao wa makonde mnavyowazungumzia ni kama mijusi fulan iv au viumbe vya tofaut ngoja nami nije kujionea
 
My dear Hawa kiuno chako aah daah... !! I lov konde girls.
 
Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!

Najiuliza why wako hivi?
Uongo ndio asili ya binadamu toa point za maana kama huna appreciate them
 
NDO UREMBO HUO WE JITU LIMETOKA BARA HUKO LAZIMA USHANGAE NYIE C MMEZOEA VICHOCHORONI TU.

Sio kwa mzigo huo mkuu minilimwambia azipunguze zibaki tatu maana hayo madude kwa kuchakaza mashuka hayajambo
 
Karibu Makonde land ila usifanye uchafu kwa kuwa italeta madhara kwani ukipiga mke wa mtu tego ni kawaida sana, HUTOONA MAKABURI na ukienda kwenu utawambia Mtwara HAWAZIKANI WANALANA kumbe ukweli ni kwamba toka enzi na enzi Mtwara ina tamaduni ya kijiji kutenga maeneo ya mazishi na huwa mbali na makazi ya watu(scientific urban planning) kama 2-1km kwa wewe mgeni utazunguka kijiji hutoona makaburi unless mtu afe uende mazikoni. Utaratibu huu mikoani huko haukuwepo may be siku hizi kwani kila kaya ilikuwa na makaburi yake around(bush planning) hii ndo civilization nashukuru kanda yenu mmeanza kuiga. KARIBUTENA UKIENDA KAWAAMBIE MTWARA HAWAZIKANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…