witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!Kingine nilichogundua uwongo kwao kawaida tu, yaan akikwambia atadanyia kazi jambo flani na asilifanyie pasipo sababu za msingi ukimhoji ye anachekelea tu. Wasiosima au kujichanfanya ndiyo wana ukabila, nadhan wanajihisi inferior. I like them though. Wadada bado sijawaoneni
Najiuliza why wako hivi?