Nyie Wamakonde Vipi?

Nyie Wamakonde Vipi?

Sio kwa mzigo huo mkuu minilimwambia azipunguze zibaki tatu maana hayo madude kwa kuchakaza mashuka hayajambo
Umezoea kunyonga vya kuchinja huviwezi, halafu usipeleke magonjwa huko we si umetoka Makete wewe
 
Mi mwenyewe mmakonde japo baba na mama sio wamakonde ila wazazi wao wote ni wamakonde
Maajabu mengine ya wamakonde, babu mmakonde, bibi mmakonde, baba si mmakonde....dadeq
 
Aisee hao watu wanaroho mbaya sana,wachoyo,wabinafsi,wabaguzi sana
Kuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.
 
Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!

Najiuliza why wako hivi?
Uvivu ni jadi yetu. Hilo halipingiki, ila hatuna uvivu wa kwenye naniliu tuu....!! 6*6
 
wamakonde hawali nyama za albino,
wamakonde hawauwi vikongwe,
wamakonde hawana ubaguzi kwa makabila mengine,
wamakonde hawasifiwi kwa kupiga radi watu,
wamakonde ni jamaa na rafiki zangu,
Nikiwa nawamakonde najihisi salama kuliko nikiwa kolomije
 
Kuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.
Usinibishie hilo mkuu nimekwambia mmakonde
 
Usinibishie hilo mkuu nimekwambia mmakonde
Sikubishii tunakwenda kwa hoja. Kuna Wamakonde, Wamakua na Wayao!! Ambao ni wana sifa ulizotaja ni Wamakua ambao wanatoka Masasi.

Nenda Newala kama utapata sifa ulizotaja.
 
Sikubishii tunakwenda kwa hoja. Kuna Wamakonde, Wamakua na Wayao!! Ambao ni wana sifa ulizotaja ni Wamakua ambao wanatoka Masasi.

Nenda Newala kama utapata sifa ulizotaja.
Mkuu tusibishane hao wote nawajua ila nimekwambia ni wamakonde
 
Ni asili yako wewe acha kugeneralize
Kama wewe sio muongo utakuwa una matatizo, hivi shemeji akikuuliza umepgwa na wangapi utamwambia dozens zote. ""2,3 na wewe wa 4 kumbe wa 40"
 
Na mpaka akamuulize swali hilo huyo atakuwa siyo mwanaume, atakuwa bado mvulana na hajaqualify kuwa na mke!
Kama wewe sio muongo utakuwa una matatizo, hivi shemeji akikuuliza umepgwa na wangapi utamwambia dozens zote. ""2,3 na wewe wa 4 kumbe wa 40"[/QUOTE
 
Mi mwenyewe mmakonde japo baba na mama sio wamakonde ila wazazi wao wote ni wamakonde
Wacha kuichanganya hapa, babu zako Wamakonde halafu baba na mama yako sio Wamakonde, yaani ni sawa na kondoo kuzaa ng'ombe [emoji23] [emoji23]
 
Kuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.
UBAGUZI TZ upo North huko na Mbeya acha uongo wewe
 
Back
Top Bottom