mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Korosho imepanda bei dili zote ntwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inakuwaje wazazi wao wawe Makonde then wao wasiwe Makonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseee
Umezoea kunyonga vya kuchinja huviwezi, halafu usipeleke magonjwa huko we si umetoka Makete weweSio kwa mzigo huo mkuu minilimwambia azipunguze zibaki tatu maana hayo madude kwa kuchakaza mashuka hayajambo
Me mwnywe ndo nmecheka apo mkuuinakuwaje wazazi wao wawe Makonde then wao wasiwe Makonde
Umezoea kunyonga vya kuchinja huviwezi, halafu usipeleke magonjwa huko we si umetoka Makete wewe
umenyata Bwana wewebhaaaaaaaaaa
Kuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.Aisee hao watu wanaroho mbaya sana,wachoyo,wabinafsi,wabaguzi sana
Uvivu ni jadi yetu. Hilo halipingiki, ila hatuna uvivu wa kwenye naniliu tuu....!! 6*6Yes....waongo mnoo, mnaweza panga kitu kifanyike siku fulani, hakitafanyika halafu anachukulia simple anacheka cheka!
Najiuliza why wako hivi?
Kumbe u mmakonde?Wamakonde Hatuna roho mbaya ni watu wacheshi Sana .
Usinibishie hilo mkuu nimekwambia mmakondeKuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.
Sikubishii tunakwenda kwa hoja. Kuna Wamakonde, Wamakua na Wayao!! Ambao ni wana sifa ulizotaja ni Wamakua ambao wanatoka Masasi.Usinibishie hilo mkuu nimekwambia mmakonde
Ni asili yako wewe acha kugeneralizeUongo ndio asili ya binadamu toa point za maana kama huna appreciate them
Mkuu tusibishane hao wote nawajua ila nimekwambia ni wamakondeSikubishii tunakwenda kwa hoja. Kuna Wamakonde, Wamakua na Wayao!! Ambao ni wana sifa ulizotaja ni Wamakua ambao wanatoka Masasi.
Nenda Newala kama utapata sifa ulizotaja.
Kama wewe sio muongo utakuwa una matatizo, hivi shemeji akikuuliza umepgwa na wangapi utamwambia dozens zote. ""2,3 na wewe wa 4 kumbe wa 40"Ni asili yako wewe acha kugeneralize
Kama wewe sio muongo utakuwa una matatizo, hivi shemeji akikuuliza umepgwa na wangapi utamwambia dozens zote. ""2,3 na wewe wa 4 kumbe wa 40"[/QUOTE
Wacha kuichanganya hapa, babu zako Wamakonde halafu baba na mama yako sio Wamakonde, yaani ni sawa na kondoo kuzaa ng'ombe [emoji23] [emoji23]Mi mwenyewe mmakonde japo baba na mama sio wamakonde ila wazazi wao wote ni wamakonde
UBAGUZI TZ upo North huko na Mbeya acha uongo weweKuna makabila mengi. Tatizo wengi mnadhani wanaotoka kusini ni wamakonde tuu. Kaulize vizuri huyo mchoyo wako hawezi kuwa mmakonde.