Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.
Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza ita wanafanya High profile prostitution.
Sasa toka mwaka huu uanze wawili kati yao (mmoja wa Dar na mwngne wa Moro) wananiletea habari za kutaka niwaoe, wote wanajua mie bachela, wamekomaa kuwahi goli hadi kuna muda nablock sababu washajiozesha kwangu bila hata hiari yangu.
Juzi nlikua Moro, huyo wa moro nmekuta kanichinjia jogoo kabisa na kawaida baada ya kukaa siku kadhaa kawaida huwa namuachia kama 200k hadi 500k sometimes ila this time kaikataa kabisa anakomaa awe mke halali. Moyoni nikacheka tu.
Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.