Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
siwezi siwezi mkuu🤣🤣🤣🤣🤣ngoja upewe ushauri wa kutumia pesa
kwanza hiyo hela ya kuchezea hivyo sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siwezi siwezi mkuu🤣🤣🤣🤣🤣ngoja upewe ushauri wa kutumia pesa
Mhhh.. labda, unajua kila mtu anaongelea alipopitia. Kwa exp yangu naona 30s, hasa hasa mid 30s (34 kuendelea) wanalilia sana ndoa, sio lazima ya kufunga, anaweza kukuset tu akupe kavu umpe mimba ili akupelekesheKuna wadada kibao 30s hawana time na ndoa mkuu.
malaya ni malaya tu10k unashea na wengi sana
Kwa hizo price unaweza kukuta hata uko peke yako, mkiwa wengi maximum ni watano sababu sio kila mtu ataafford na ukiangalia pisi inakua haijulikana kama inauza, less competition!
kwani wewe hujafikisha 30usitutishe bhana
Wanagombania nn hao
Nimekupata mkuu Teslarati , umetoa shule kubwa hapa. Big up! Kwahiyo kwa mwanaume 30s kikawaida bado anakuwa ana mvuto labda akiwa kwenye late 40s ndio utu zima unaanza kujionesha?Hapana chief, mwanamke graph yake ipo opposite, kama hajitunzi in 30s basi anaanza kupoteza kila uzuri alokua nao.
Kama anajitunza basi bei ya kujitunza inakua kubwa sana.
Kuna boss wetu mmoja kampeleka mke wake dubai akakate utumbo, mke yupo kati ya 30 na 35 hivi.
Hujui kwa nini wanawake wengi wanamuonea wivu zari? Kumantain ule uzuri sio cheap, wengi hawawezi na ndo chanzo cha hate
basi wewe haumo jamaa anawasema wale ambao hawajafikisha halafu wanajidaitayari and counting
GOD is good 🙏
lakini baada ya kulewa matokeo yake wote wanakuwa droo yaani wote wanayumba yumbaSikatai.
Konyagi na Whiskey zote ni pombe kali, lkn angalia wanywaji wake ndo utaona utofauti
Mwanaume kwenye late 20s hadi late 40s ndo anakua hot cake, Harvard Research zinasema hivo.Nimekupata mkuu Teslarati , umetoa shule kubwa hapa. Big up! Kwahiyo kwa mwanaume 30s kikawaida bado anakuwa ana mvuto labda akiwa kwenye late 40s ndio utu zima unaanza kujionesha?
Kumbe kuna wanawake wanamchukia Zari kutokana na uzuri wake. Inaonesha mwanamke anaweza kumhate mwenzake kwasababu ya mvuto tu.
Sisi tukifikisha 30 ww utakua ushazeeka.Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.
Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza ita wanafanya High profile prostitution.
Sasa toka mwaka huu uanze wawili kati yao (mmoja wa Dar na mwngne wa Moro) wananiletea habari za kutaka niwaoe, wote wanajua mie bachela, wamekomaa kuwahi goli hadi kuna muda nablock sababu washajiozesha kwangu bila hata hiari yangu.
Juzi nlikua Moro, huyo wa moro nmekuta kanichinjia jogoo kabisa na kawaida baada ya kukaa siku kadhaa kawaida huwa namuachia kama 200k hadi 500k sometimes ila this time kaikataa kabisa anakomaa awe mke halali. Moyoni nikacheka tu.
Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.
Hahaha!!! Kwamba Nazi ya kafara yeye kaungia maharage..Jogoo uliechinjiwa katoka kwa mganga ni wa dawa.