Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
No kuwa single mother hakuhusiani kabisa. Kwahiyo unadhani singo maza hawatamani ndoa? 😁nimekupata mkuu, huwezi amini ningeweza kufikiri only ambao wamekuwa single mothers ndio wasiotamani ndoa.