Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndio uhalisia KE wengi hupenda noti sanaNani anazihusudu?
Mnajidanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uhalisia KE wengi hupenda noti sanaNani anazihusudu?
Mnajidanganya
Tena tunafanya kazi karibuUngeshakua mke wa mwalimu ila ukamtosa
Mnajidanganyaaa 😂Ndio uhalisia KE wengi hupenda noti sana
Pole kwa uliyopitiaTuishie hapo mkuu
😀😀Ila kweli bhana utakuta chaki had kwenye nywele usiombe kukutana na anaefundisha wa la kwanza C chaki had kwenye machoHawajanikosea
🤣🤣
Ni huyo mwalimu mmoja tu nimemtolea mf hai wa waoaji tunavyopishana nao
Asante mkuu,ndo njia yangu pia huenda nilistahili kupita au nimepita bahati mbayaPole kwa uliyopitia
Ila sijui kwa nini wadada hawawapendi walimu aisee? Kwani wamewakosea nini?😀😀Ila kweli bhana utakuta chaki had kwenye nywele usiombe kukutana na anaefundisha wa la kwanza C chaki had kwenye macho
Unarudi kwenu kufanya nini na umeolewa? 😁Tena tunafanya kazi karibu
Ile subaru yake ningekuwa naendesha mm
Nampeleka kwake, af narudi kwetu 😂😂
😂😂😂 basi unajitolea kuwa Designer wake😀😀Ila kweli bhana utakuta chaki had kwenye nywele usiombe kukutana na anaefundisha wa la kwanza C chaki had kwenye macho
Watanifukuza auUnarudi kwenu kufanya nini na umeolewa? 😁
Haukustahili ni matukio tu yasiyotazamiwa yoyote linaweza kumkuta. Cha muhimu kujifunza kutokana na makosaAsante mkuu,ndo njia yangu pia huenda nilistahili kupita au nimepiga bahati mbaya
😅 bora kuwa nazo kuliko kutokuwa nazo plus mwanamke asiekupenda.Mnajidanganyaaa 😂
We kuwa na hizo hela af ujiingize kwenye Ke asiyekupenda/ asiye na hisia na we. Ndio utajua pesa zako n makaratasi tu
Hufukuzwi ila ukishaolewa habari za kwenda kwenu kila mara hazitakiwiWatanifukuza au
AmenHaukustahili ni matukio tu yasiyotazamiwa yoyote linaweza kumkuta. Cha muhimh kujifunza kutokana na makosa
😂😂Kwakweli sijui Kwann ila Wana uvumilivu sana Hawa viumbe ila wengi hawajiongez kupambana na maisha nafikir ndio sabbu japo wachache wamechangamkaIla sijui kwa nini wadada hawawapendi walimu aisee? Kwani wamewakosea nini?
Nitaondoka na mmoja 1 au 2Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.
Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza ita wanafanya High profile prostitution.
Sasa toka mwaka huu uanze wawili kati yao (mmoja wa Dar na mwngne wa Moro) wananiletea habari za kutaka niwaoe, wote wanajua mie bachela, wamekomaa kuwahi goli hadi kuna muda nablock sababu washajiozesha kwangu bila hata hiari yangu.
Juzi nlikua Moro, huyo wa moro nmekuta kanichinjia jogoo kabisa na kawaida baada ya kukaa siku kadhaa kawaida huwa namuachia kama 200k hadi 500k sometimes ila this time kaikataa kabisa anakomaa awe mke halali. Moyoni nikacheka tu.
Nyie vibinti under 30 tukitaka kuwaweka ndani punguzeni nyodo, heshimu sana mwanaume anaetaka kukuoa kwa hali hii ya sasa.
😂😂 lazima uchakae😅 bora kuwa nazo kuliko kutokuwa nazo plus mwanamke asiekupenda.
😂😂😂😂😂😂😂 basi unajitolea kuwa Designer wake
Lkn mtu hatingishiki
Waii
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Kwakweli sijui Kwann ila Wana uvumilivu sana Hawa viumbe ila wengi hawajiongez kupambana na maisha nafikir ndio sabbu japo wachache wamechangamka
Lkn imagine mke amkute mumewe anaimba na watoto mabaya wadogo wadogo wanaogelea😂😂😂😂
Kwenda wapi mkuuNitaondoka na mmoja 1 au 2
View attachment 2556169