Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Af naona kama zimeanza kufanya kazi vile, sababu ujue sijawah take serious kabisa. Ila leo kuna mambo kaniambia asbh na mchana bado yanazunguka kichwani ndo maana nikaona hadi nipost uzi hapa labda yataondoka
Dawa ndio inaanza kufanya kazi hivyo, ukiwa na uwezo kuna vitu vifanye kwa tahadhari kubwa sana hasa kwa KE unaowaona wana interest na ndoa. Kuna umri KE akifikisha hata kwao wanampambania apate mtu aoe. Huko kumpambania kuna namna nyingi
 
Mwanaume kwenye late 20s hadi late 40s ndo anakua hot cake, Harvard Research zinasema hivo.

Wanawake wapo complicated sana hasa kuhusu mambo ya hate/like ila naona wanachukianaga sana kama mmojawapo amewazidi uzuri
ni kweli mkuu Teslarati ishu za hate and like ziko sana kwa wanawake, nadhani inatokana na wao kutawaliwa zaidi na emotion kuliko logic.
 
Dawa ndio inaanza kufanya kazi hivyo, ukiwa na uwezo kuna vitu vifanye kwa tahadhari kubwa sana hasa kwa KE unaowaona wana interest na ndoa. Kuna umri KE akifikisha hata kwao wanampambania apate mtu aoe. Huko kumpambania kuna namna nyingi
Half american inakuwaga umri gani hasa mkuu mwanamke akifika anakuwa anapambana sana apate ndoa?
 
Kwa wenye matamanio ya kuishi maisha ya ndoa ikifika 28 hajapata wa kumuoa/hajaolewa basi huwa tafrani mkuu. Nayasema haya nikiwa kwenye shinikizo la kuoa binti ana 27 yrs kwao kelele zishakua nyingi ni lini utakuja, ni lini utakuja baba ila mimi mpango huo sina kwasasa na muda ukifika hatokua yeye.
 
Hapana chief, mwanamke graph yake ipo opposite, kama hajitunzi in 30s basi anaanza kupoteza kila uzuri alokua nao.

Kama anajitunza basi bei ya kujitunza inakua kubwa sana.

Kuna boss wetu mmoja kampeleka mke wake dubai akakate utumbo, mke yupo kati ya 30 na 35 hivi.

Hujui kwa nini wanawake wengi wanamuonea wivu zari? Kumantain ule uzuri sio cheap, wengi hawawezi na ndo chanzo cha hate
Haha facts
 
Kwa wenye matamanio ya kuishi maisha ya ndoa ikifika 28 hajapata wa kumuoa/hajaolewa basi huwa tafrani mkuu. Nayasema haya nikiwa kwenye shinikizo la kuoa binti ana 27 yrs kwao kelele zishakua nyingi ni lini utakuja, ni lini utakuja baba ila mimi mpango huo sina kwasasa na muda ukifika hatokua yeye.
nimepukapata vizuri mkuu Half american , ina maana wapo wanawake ambao hawana kabisa matamanio ya kuishi maisha ya ndoa? basi inaonesha mwanamke akifika umri fulani kama bado hajaolewa, chance ya yeye kuolewa inakuwa imepungua pungua.
 
Wapo wasiotamani ndoa kabisa kwa sababu wanazozijua wao.

Hiyo ipo wazi mkuu umri ndio unawaamulia
 
Back
Top Bottom