Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

We unaongelea ulimwengu wa kufikirika,

Yaan dunia hii ambayo kitoto cha 18 yrs hakina bikra uje unambie wa 30s awe na bikra? Na 30s majority wanakua tyr wana watoto.

Hebu ongea reality sio mambo ya kufikirika.

Af wewe inaonekana hujatembea. Mie nmefanya kazi makampuni mbalimbali lkn nashuhudia wanawake wanavyotoa nyuchi zao, humo bank, sijui serikalini, sijui wp kuna makahaba lkn huwawezi jua sababu hauna access ya kuwajua. Hao madem zangu nlowaandika hapo juu wana kazi zao nzuri kabisa nikikuonesha hutokubali
 
kuwachezea hao wanawake ndio mje mdai hizo bikira fullstop
Na wao wapunguze shida zao.

Unaweza kutana na kabinti kanakwambia ukafanye lolote ili mradi ukasponsor maisha yake ya chuo, sasa kwa mwendo huo inakuaje?

Shida kubwa siku hz kuna frame katikati ya miguu zao, washajiwekea akilini hio mambo ni kitega uchumi. Kuna jamaa mmoja alifungua bonge la pub mkoa fln akajaza vitoto vidovidogo tu hadi nikamdharau kabisa, ila ukija kufuatilia ni visichana vinavyoharibika tokea shulen kwa sababu ya kuendekeza tamaa, shida na daddy issues
 
Nimekuelewa ila nimeweka exception wale waliojitunza na wapo kwa nadra sana.

Kwa maana hyo kundi kubwa 90% wanafall kweny waliotumika ...Ila hao 30 wapo amini kabisa
 
Mkuu ukweli mtupuu... Kuna sehemu nlishasema asilimia 70 ya ndoa za kiafrica zinafanyika ili kuiimpress jamii na si kwasababu watu wamependana kwa dhati... Me huwa nashangaa watu wanaendesha mambo kwa peer pressure mkuu
 
ninavyoona 30+ wanakuwaga stressed kwasababu ya vitu vikuu vitatu.
1. upweke
2. mtazamo wa jamii juu ya mwanamke hasiyeolewa
3. kibailojia (hitaji la kimwili)
mpaka sasa sijakupata mkuu toughlendon_1 kwanini huyo wa 23 years amekuwa na hofu wakati ni mdogo kiumri?
 
Teslarati na toughlendon_1 mnasemaje kuhusu haya maoni ya mdau mwenzetu Accumen Mo ?
 
Teslarati na toughlendon_1 mnasemaje kuhusu haya maoni ya mdau mwenzetu Accumen Mo ?
Unajuaje kama mwanamke katumika sana kama haujamla? Alafu kitu kingine ili kujua kama mtu analiwa sana mpaka upate habari zake? Sababu umeongelea swala la habari kusambaa mtaani kuwa kaliwa na watu wengi, lets say mtu kaliwa sana mtwara kuanzia akiwa na early 20's alafu anafikisha 30's anahama anakuja dar anatulia kama sio yeye vile unampata unamwoa thinking kajitunza kumbe umebeba mzoga, now i understand kwanini watu hawadumu kwenye mahusiano na ndoa, hawana taarifa sahihi za wenzi wao....Anyways swali langu la msingi mtu ana 30+ unajuaje kajitunza au hajajitunza kama hata kumtafuna hujawahi?
 
Anaona yanayoendelea kwenye jamii kama hayaelew anaona umri unaenda hapa permanent relationship, hakuna kitu wanawake huwa hawapend kama kuliwa na kuachwa every now and then wanakuwa hawaelewii
 
Anaona yanayoendelea kwenye jamii kama hayaelew anaona umri unaenda hapa permanent relationship, hakuna kitu wanawake huwa hawapend kama kuliwa na kuachwa every now and then wanakuwa hawaelewii
kwahiyo mkuu karibu kila mwanamke anapenda kuingia kwenye permanent relationship tofauti na sisi wanaume ambapo unaweza ukakuta mtu anapita tu?
 

[emoji28][emoji28]kumbe
 
Sio hawana time na ndoa, huko ndani ya nyoyo zao wanatamani kuolewa. Wa kuwaoa hawapatikani.
Wanaamua kujipotezea kwa kisingizio cha hawana time na ndoa
Kwani miaka 30s hawana soko?kuna mmoja nimemwambia nimuoe kasema hayupo tayari anawaza akae peke yake
 
Anajiona kaokota embe kweny mpera kumbe ni mzoga na utakuta kijijini kaacha mtoto
 
Hawa viumbe usije ukamuamini kisa ww kakuuzia bei kubwa wapo wahuni wanamega hao hao malaya pro bure madem bhana wapo tofaut na ufikiriavyo najua utajitetea ili uonekane unakula pasafi ila ukijua akili za mwanamke basi hutapoteza mkwanja kisa utelezi
Hakika umenena kiongozi. Hawa viumbe Huwa tunasema hawana akili, kiuhalisia wako ahead of men. Anaweza kukufanyia marking hutoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…