Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #341
We unaongelea ulimwengu wa kufikirika,Mtoa mada unakosea kwanza angalia na situation ya wanwake ulikutana nao no wale michepuko inawezekana washapita na majaaa kibao zaidi yako wewe.
Mwanamke hata awe 30's possibility ya kuolewa ipo kubwa kwa hali moja tu kama hajatumika sana yaani kajitunza ..wapo wameolewa miaka 30 Tena kwa kugombaniwa wakachagua waolewe na nn ni wale waliojitunza lakini kama ni wale washaziniwa sana mpaka stories zimesambaa mitaani au wamezalishwa ndo Wana wakati mgumu..
Mwanamke hawezi kuchakaa kwa umri anachakaa kwa kutumika ..Jaalia akiwa early 20 alianza kutumika mpaka alifika 30 hana ndoa anakuwa kashachakaa ..Wapo wanawake wanajielewa wako 30 ila bado ni vijana na wanaolewa sio hao Mali za umma kama wako.
Kikubwa asitumike ila ni nadra sana kwa vile wa sasa miaka 17 kashaanza michezo ya ovyo
Yaan dunia hii ambayo kitoto cha 18 yrs hakina bikra uje unambie wa 30s awe na bikra? Na 30s majority wanakua tyr wana watoto.
Hebu ongea reality sio mambo ya kufikirika.
Af wewe inaonekana hujatembea. Mie nmefanya kazi makampuni mbalimbali lkn nashuhudia wanawake wanavyotoa nyuchi zao, humo bank, sijui serikalini, sijui wp kuna makahaba lkn huwawezi jua sababu hauna access ya kuwajua. Hao madem zangu nlowaandika hapo juu wana kazi zao nzuri kabisa nikikuonesha hutokubali