Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s


Umesahau tu kiungo cha tangawizi, kwamba mwanamke hataki 500k? Kwa ajili ya kuwa mke halali, kwa hiyo hawezi ichukua na kuwa mke halali? Tafuteni hela vijana achaneni na kuangalia tamthiliya za mexicans ambao wote sauti zao zaonyesha ni mashoga.
 
Mkuu Mungu akubariki sana, kama wewe ni me Wanaume wote wangekuwa wana akili ya kuelewa kama wewe, hakika ndoa ingekuwa sehemu salama sana
Kama naona ulivokuja mbio baada ya kusaidiwa point.

Anyway
Umesahau tu kiungo cha tangawizi, kwamba mwanamke hataki 500k? Kwa ajili ya kuwa mke halali, kwa hiyo hawezi ichukua na kuwa mke halali? Tafuteni hela vijana achaneni na kuangalia tamthiliya za mexicans ambao wote sauti zao zaonyesha ni mashoga.
we ndo ukatafute hela sababu unadhan 500k ni hela kubwa sana.

Dem ana kazi yake nzr tu anakunja 800k per month, bado ananidanga mara kibao, aje kukataa 500k mara moja tu ndo ushangae, toka mitandaoni ukatafute hela chief
 

We fala kweli, basi ngoja ninyamaze, kwa hiyo instead of taking 500k ni fidia ya wewe kuoa? Huoni wewe ni chizi smart?
 
Mi mwanaume perfect ni yule anahudumia familia na siyo anitegemeaye kutunza familia
Unaonekana una tabia ya uzembe kwenye majukumu ya mke na una lawama ambazo hazina msingi kwa mwanaume kiasi kwamba inakuwa kama unamfundisha majukumu yake jambo ambalo hakuna mwanaume anapenda na hakuna atakaekubali kuishi na mwanamke ambaye anahiyo tabia.

Ukiwa na tabia za kutegea majukumu kwa kisingizio cha kuwa wewe ni mwanamke na mwanaume pekee ndie anatakiwa kutoa hata pale anapokuwa hana ila wewe unaficha chako basi automatically MUNGU atamtoa huyo mwanaume kwenye maisha yako na atakuletea wa kufanana nae yaani ambaye na yeye anategea majukumu yake kwa kisingizio cha haki sawa na ujuaji wa nani afanye nini.

Mabinti wengi mnakosa sifa ya kuishi na wanaume miaka hii sababu ya tabia hizi za ubinafsi za kuhisi wao hawatakiwi kuwajibika kwa lolote kwenye mahusiano mwanaume ndie abebe kila kitu hata kipindi ambacho anakuwa hayupo vizuri badala ya kuwa comforter kwa mwanaume wao wapo busy kulaumu na kufanya matukio ya dharau na kufedhehesha mwanaume.
 
Sawasawa
 
Ishu sio jimbo liko wazi

Kuoa au kuolewa ni suala la muda na mipango ya MUNGU, unajua sio kila mtu kaandikiwa ataolewa ataoa so ukiona hawajaolewa jua muda wao bado, GOD timing is perfect
Huwa nacheka sana mnaposema neno "KUANDIKIWA". So mkiwa wadogo umri wa kuanzia miaka 16 hadi kabla ya 30 vile mnavyokuwa mnakataa kusettle na vijana wa size yenu, ambao kwa sasa ukitazama wote wameshaoa na wanafamilia, kipindi mkiitwa kwa heshima mnajikausha au kujibu kwa kupuuza, kipindi vijana wanajitoa kuwafukuzia kwa miezi mnawajibu "ila mimi nakuchukulia kama kaka yangu" ile hali mnawavulia nguo wanaume wenye ndoa zao tena mababa wa rika sawa na baba zenu, kipindi mnaruka na hawa mabishoo wa mjini, wakati mkifanya haya yote mlikuwa ndio mnaandikiwa au ilikuwaje yaani huwa sielewi hivi visingizio vya kipuuzi huwa mnatoka navyo wapi.

Kimsingi ikifika muda wa kulipia hesabu huwa mnaanza kuja na hoja za kipopoma sana.
 
Mtu amepigwa mashine za kila aina halafu anafika 30 anaanza kuweka unrealistic standards. Mwanaume ili nimkubalie awe na hiki na kile awe hivi halafu awe vile, halafu asiwe anafanya hivi na vile. Kwakifupi, wanakuwa so insecure hadi wanajitengenezea expectations ambazo hazipo kiuhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…