Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Sisi wanaume wenyewe tukifika umri wa miaka 30 tunajiskia upweke fulani na tunatamani tuwe na familia ila ni vile tu mambo mbili tatu zinakuwa hazijakaa kwenye mstari sasa najaribu kuimagine hapo ni sisi na ndio tunapower ya kuamua tuoe lini na tumuoe nani ila sasa hawa wenzetu wataringa lakini hawanaga jeuri ya kuamua aishi na nani. Ukiona ndoa imedumu na ina furaha jua mwanaume amemependa mwanamke na mwanamke ni mtii na anaheshima kwa mwanaume wake.

Ila ndoa ikiwa ni jitihada za mwanamke ni swala la muda tu kuvunjika maana hawana uwezo wa kuamua wataishi na nani na hawana hiyo nguvu ya kufanya ndoa isimame haijawahi kutokea katika hii dunia na wakifanya hivyo basi humo ndani kuta ndizo zinajua siri zinazofichwa na vilio vyao. Hii si kanuni yangu bali ni kanuni ya asili ya ulimwengu.

Thamani ya mwanamke ipo kwenye namna ipo kwenye synchronicity kati yake na mwanaume ambaye atampenda ya dhati. Wanasema gari haichagui dereva/m'miliki wa kuitunza bali Dereva/m'miliki ndie huchagua gari ipi ataweza kuitunza na kuishi nayo muda mrefu wa maisha yake.
 
Ndoa ni tendo la kiroho na mwongozo wale upo kwenye vitabu vyote vya dini, so hata dunia ibadilike vipi,maneno yale ya kwenye vitabu hayatokuja kubadilika ever.
Shida kuna watu wanawadanganya wanadamu kuwa yale maneno kuna watu janja janja walikaa chini wakayatunga kisha wakayaprint ila ni usanii.

Cha ajabu kila kilichoandikwa huwa kinatokea tena kwa kujirudia nyakati tofauti za vizazi tofauti.

Na ukifuata yale maandiko unaona kabisa namna maisha yanakaa katika mstari.
 
Mwambie nafasi ya pili ipo wazi huku[emoji1751][emoji1751]
 
Mnawasingizia sana wadogo zetu kwamba mnawala daily kimasihara while we mwenyewe tu una week hujala 🏃‍♂️
Hoja sio mimi kula, na nikila/nisipokula sina kawaida ya kusema. Ila wanaliwa kama njugu kisa njaa, utanipinga ila ndio uhalisia.
Shangazi! 🙄
 
Furaha ni mythical word. Ukitaka kujua neno Furaha limekaa kimtego tazama namna kila mtu anadefine furaha yake kwa namna yake ndipo unajua ni upumbavu wa kiakili kuingia katika Ndoa ukiwa na malengo ya kuitafuta hiyo furaha kisha eventually ukaikosa ukaona ni bora uende nje tena kuitafuta.

Ndoa ni taasisi, wanandoa wanatakiwa kujiwekeza zaidi kwenye kutekeleza majukumu yao sio kuingia kutaka kufanyiwa mambo ambayo yatawapa mrejesho wa furaha ile wanayoitafuta.

Zamani ndoa zilienda bila kujalisha furaha ilikuwapo ama la ndani ya ndoa sababu wanaume walitekeleza majukumu yao bila kukumbushwa sababu walikuwa wanaoa akina mama ambao wamefundwa kutekeleza wajibu wao hata kama nafsi zao zinavinyongo au hasira.

Nitakupa mfano nje ya maswala ya mahusiano ila ukiuelewa utapata maana ninayotaka kukupa.

Kwa mfano leo hii nitafutie mwanamke msomi ambaye ameajiriwa kwenye kampuni kubwa inayomlipa lets say 2 million ambaye atasusa kufanya majukumu ya ofisini kwake sababu tu bosi wake alimjibu vibaya, au alimfokea au alisahau kumsifia kwa kazi nzuri aliyofanya au hakutokea ofisini. Huyu mwanamke hata asemeshwe kwa dharau au kwa jeuri still utaona anafuata maagizo ya maboss wake na kutekeleza wajibu wake wa kazi bila shuruti sababu hayupo tayari kusimamishwa kazi.

Ila rejea huo mfano kwenye ndoa, wanawake hawa wa kisasa ikatokea amekosea ukamfokea, utaona namna atarespond kama sio kujibizana kwa dharau na jeuri ili achapwe makofi basi ataanza mgomo baridi kwa kukuletea viburi ndani ya Ndoa au kuanza kuleta shida kwenye mambo ya kitandani yaani ataanza kukwepa kuwajibika kama mke na ukimwambia asepe hatoona shida siajabu yeye ndie akaondoka bila kufukuzwa.

Hii inakwambia namna hakuna utayari wa wanawake wa kizazi kipya kutumikia ndoa na kuwajibika. Wanaona ni mzigo ila huko maofisini wanakuwa treated vibaya zaidi na maboss zao still wanatii na kutekeleza maagizo. But end of the day boss anamlipa tu mshahara ambao 50% ya huo mshahara huwa unagharamikia expenses za kwenda ofisini kama mavazi, saloon, na urembo mwingine, gharama za usafiri, na michango ya hapo ofisini just in case imetokea haja ya kuchangiana. Na bado mkataba wa kazi ukiexpire huyu mwanamke anarudi home kwa mume wake au kwao with nothing yaani kampuni aliyoipambania hawezi pata mgao wa urithi wala kuwa mojawapo ya wamiliki hata iwaje.

Sasa mwanamke huyu huyu mumewe ajitahidi kumfungulia biashara ambayo atatia mtaji for free, atanunua usafiri ili watumie kumpelekea na kurejesha nyumbani kutoka hapo sehemu ya biashara, chakula ataletewa na house girl, na bado akitia loss mume atajazia mtaji, na biashara ikikua yeye atakuwa ni sehemu ya wamiliki wake na ni rightful mrithi wa mali za mume wake, na biashara ikikuwa yeye atafaidika ila hizo dharau sasa kwa anayemjengea hii empire sasa pumbavu zao hawa viumbe wasio na hekima.

Kimsingi mwanamke hana akili ya kujiongoza ndio maana akiwa anatumia ubongo wake bila msaada ni kama gari linalokimbia kwa speed 220km/hr katika mteremko mkali tegemea muda wowote atapigiza somewhere na damage itakuwa ni fatality kali beyond repair.

Kuna mzee mwenye busara alinambia, Mwanamke mwenye kiburi huwa hafundishiki, anaachwa ajifunze kwa makosa yake mwenyewe. Now nimeamini aisee. Nikuwaacha tu wakosee wajifunze kwa gharama maana wameleta kiburi kufuata maandiko ya MUNGU wacha sasa wapate tamu ya matendo yao. The more tunawalaumu na kuwasema sema the more tunawapa akili ya kuzidi kukengeuka maana wao dhamira yao ni kuishi nje ya mfumo wa maadili ndicho wanachokitaka why sasa tuwalazimishe kuishi ndani ya maadili ambayo wao wenyewe hawayaamini.

So let us let them learn in Nature's language.
 
Bahati nzuri niko kwenye Ndoa ya furaha mwaka wa 16

Mnapenda sana kuwabully Wanawake..Kama umeandikiwa Ndoa utaipata tu kila jambo linaenda kwa Qadar
Nyie mkiambiwa ukweli mnaita kubully unajua maana na matumizi sahihi ya neno bully wewe?

Yaani wewe unafanya umachepele wako tunakuona sasa umesanda tunakusema unasema tunakuonea (tunakubully) are u even serious?

Miaka ya nyuma tabia za wanawake kuzaa na wanaume nje ya ndoa kisha kubambikia wanaume zao wa ndoa watoto kharamu ilifunikwa na jamii na kupewa msemo "Kitanda hakizai haramu" jamii haikuwa ikiwasema vibaya sasa ile tabia ikakomaa hadi ikaota mizizi na wanawake mkaona ni halali kuchanganya mbegu za wanaume nje ya ndoa matokeo yake leo hii sababu ya jamii kuwachekea kumeibuka tabia hiyo wazi wazi wanawake kubambikia wanaume watoto. Ila kizazi hiki wanaume wanahoji vitu kwa logic so hawakubali upuuzi.

Therefore leo unaona idadi ya single mothers inakuwa kubwa sababu ya jamii kuwachekea chekea na kuwapeti peti mnapofanya upumbavu. Hilo jambo litaishia na wazee wetu, sisi tutawasema na kuwasakama kwa kila baya mtafanya.

Kuolewa ipo ndani ya binti ofcourse wapo ambao wanaweza kuwa na dosari au muonekano ambao hautavutia wanaume kuolewa ila 99% ya mabinti hamna sababu wala hoja ya kusema mlikosa ndoa kwasababu fulani wengi wenu hii mlitaka kwa makusudi aidha kwa kutojua hatima yenu ama kwa kujua hatima yenu. Mwisho wa siku madhara ya maamuzi yenu yana athiri jamii nzima.

Kwann sasa tusiwaseme mchana kweupe eti kwasababu mnaumia.
 
Hii ipigwe lamination kabisa.
Tusisikie fyoko fyoko tena za wanawake humu jf wakisema eti wanapenda.
Umeongea to the point. Sema mwanamwane nimefulia tuu ila ningkupa hela ya lunch kwa point ulimwaga.
 
Hata gari ikiwa zero milage imepaki tu yard hainunuliwi jua, mvua, upepo vumbi vinaikuta hapo ilipopaki then itaoza na uchakavu utalikuta tu.

Wewe acha kujifanya ni Padre Msawazo unakuja kuwafariji tu hapa watoto wa watu. Kama wewe unauchungu sana na u ajifanya ndie mfariji wao unatakiwa ujue huu upuuzi umeandika hapa hautawasaidia lolote sababu vitu vinavyosababisha wao kupotea havina uhusiano na kujitunza.

Wengi tunaowaongelea hapa ni mabinti ambao wameshaingia mageto zaidi ya 20 ya wanaume tofauti, wameshachomekwa madudu kadhaa ya wanaume tofauti, walishajiapiza kuwa hawana haja ya wanaume sababu ya kutazama tamthiria na movie za magharibi zinazowapotosha akili na kuwajaza ujinga.

Wewe hauwafahamu ila unahisi unawaelewa. Huu ni upuuzi unafanya na hausaidii.

Chukua medal [emoji1628] [emoji966] yako hapo chini kwa kuwa mwanaume kilaza.
 
Achana nae huyo hao si ndio lile kundi la "Pick me lady pleaser" yeye hapo anaongea ili mademu wamuone ni gentleman kumbe fala mmoja ambaye anatafuta points za "kisimp".

Huku kwenye game la mahusiano life haiendi hivyo.
 
Nimekuelewa ila nimeweka exception wale waliojitunza na wapo kwa nadra sana.

Kwa maana hyo kundi kubwa 90% wanafall kweny waliotumika ...Ila hao 30 wapo amini kabisa
Acha kupika pika mambo hapa bwana. Wanaotafuta wanawake ndio wanajua wanakutana na sampuli zipi.

Wewe hao mabikra wa miaka 30 ukutane nao wewe tu khaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…