Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ngumu kumeza hii njaa mbaya sana na ndio zinawafanya wanaliwa kimasihara dailyMwanamke anatanguliza njaa mbele halafu utegemee utakuwa mwenyewe!? š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu kumeza hii njaa mbaya sana na ndio zinawafanya wanaliwa kimasihara dailyMwanamke anatanguliza njaa mbele halafu utegemee utakuwa mwenyewe!? š¤£
Sasa si ushakula huyo jogoo halafu ndio ukaleta huu uzi!?Umenisanua mkuu, sikufikiria kabisa hilo
Sisi wanaume wenyewe tukifika umri wa miaka 30 tunajiskia upweke fulani na tunatamani tuwe na familia ila ni vile tu mambo mbili tatu zinakuwa hazijakaa kwenye mstari sasa najaribu kuimagine hapo ni sisi na ndio tunapower ya kuamua tuoe lini na tumuoe nani ila sasa hawa wenzetu wataringa lakini hawanaga jeuri ya kuamua aishi na nani. Ukiona ndoa imedumu na ina furaha jua mwanaume amemependa mwanamke na mwanamke ni mtii na anaheshima kwa mwanaume wake.ni wazi mwanamke akifika 30s na bado hajaolewa ata kama anaoenekana nje ni mtu mwenye furaha muda wote lakini ili la kutokuwa na ndoa (mume), inamkosesha furaha ni basi tu hawezi kujionesha wazi wazi lakini lazima atakuwa hata anawaeleza shoga zake msongo wa mawazo anaopitia
Shida kuna watu wanawadanganya wanadamu kuwa yale maneno kuna watu janja janja walikaa chini wakayatunga kisha wakayaprint ila ni usanii.Ndoa ni tendo la kiroho na mwongozo wale upo kwenye vitabu vyote vya dini, so hata dunia ibadilike vipi,maneno yale ya kwenye vitabu hayatokuja kubadilika ever.
Mwambie nafasi ya pili ipo wazi huku[emoji1751][emoji1751]Walio wengi wanaponzwa na ile hali ya kutaka kuolewa na wanaume wenye maisha mazuri huku wakisahau kwamba inawezekana akaolewa na maisha mazuri yakamkuta huko.
Nina ndugu yangu saa hii anaenda 32 kilichobakia anawaza walau apate tu mwanaume wa kumpa mimba ili hata azae alee mwenyewe sababu hapati wa kumwambia atamwoa.
Kwa kweeli! šMwambie nafasi ya pili ipo wazi huku[emoji1751][emoji1751]
We jana na leo asbhNgumu kumeza hii njaa mbaya sana na ndio zinawafanya wanaliwa kimasihara daily
I don't kiss and tell shangaziWe jana na leo asbh
Na wkend
Umemla nani kimasiraha?
Mnawasingizia sana wadogo zetu kwamba mnawala daily kimasihara while we mwenyewe tu una week hujala šāāļøI don't kiss and tell shangazi
Hoja sio mimi kula, na nikila/nisipokula sina kawaida ya kusema. Ila wanaliwa kama njugu kisa njaa, utanipinga ila ndio uhalisia.Mnawasingizia sana wadogo zetu kwamba mnawala daily kimasihara while we mwenyewe tu una week hujala šāāļø
Furaha ni mythical word. Ukitaka kujua neno Furaha limekaa kimtego tazama namna kila mtu anadefine furaha yake kwa namna yake ndipo unajua ni upumbavu wa kiakili kuingia katika Ndoa ukiwa na malengo ya kuitafuta hiyo furaha kisha eventually ukaikosa ukaona ni bora uende nje tena kuitafuta.Me siamini kama ndoa ndio furaha kwa wanawake au binandamu, ila huwa sielewi kwanini kwa wanawake kuwa married ipo kwenye cart yao? Kuwa happy ni ni kuwa happy mzee, ila wanawake wengi wakifika 30+ wanakuwaga na stress kama hawako married unadhani kwanini? Huyu wa 23 ni mpuuz na ni mzuri... Sema ana usengelema mwingi
Ngoja niitafute PM ilipo kwanza[emoji3][emoji3]Kwa kweeli! [emoji3]
Tena nitafute kwani nina habari njema mdogo wangu.
Nyie mkiambiwa ukweli mnaita kubully unajua maana na matumizi sahihi ya neno bully wewe?Bahati nzuri niko kwenye Ndoa ya furaha mwaka wa 16
Mnapenda sana kuwabully Wanawake..Kama umeandikiwa Ndoa utaipata tu kila jambo linaenda kwa Qadar
Dah!...jamaa wana Uchumi mzuri kweli kweli..Duh kumbe watu mnanunua malaya hela yote hiyo
laki 500?
Hii ipigwe lamination kabisa.Tokea lini mwanamke akapenda? Mwanamke nje ya hisia zake za awali huwa anakuwa na tamaa ya vitu anavyohodhi mwanaume.
Yaani ipo hivi, mwanamke akiona mwanaume ana vitu ambavyo yeye mwanamke anaviona ndivyo vitampa maisha mazuri na ya starehe then hapo huwa anajitiisha na kujiweka kama mahala salama. Halafu ndipo huwa mnasema nimependa. Hapana haujapenda umetamani.
Njia ya asili ni mwanaume yeye anavutiwa na wewe then anaanza kukuteka kwa kuchukua mahitaji yako muhimu na kugeuza kuwa majukumu yake ili wewe upate nafuu ya kuishi na kuanza kutii amri yake kisha baada ya hapo unaingia katika maisha yake na kuanza kupanga nae maisha period.
Hata gari ikiwa zero milage imepaki tu yard hainunuliwi jua, mvua, upepo vumbi vinaikuta hapo ilipopaki then itaoza na uchakavu utalikuta tu.Mtoa mada unakosea kwanza angalia na situation ya wanwake ulikutana nao no wale michepuko inawezekana washapita na majaaa kibao zaidi yako wewe.
Mwanamke hata awe 30's possibility ya kuolewa ipo kubwa kwa hali moja tu kama hajatumika sana yaani kajitunza ..wapo wameolewa miaka 30 Tena kwa kugombaniwa wakachagua waolewe na nn ni wale waliojitunza lakini kama ni wale washaziniwa sana mpaka stories zimesambaa mitaani au wamezalishwa ndo Wana wakati mgumu..
Mwanamke hawezi kuchakaa kwa umri anachakaa kwa kutumika ..Jaalia akiwa early 20 alianza kutumika mpaka alifika 30 hana ndoa anakuwa kashachakaa ..Wapo wanawake wanajielewa wako 30 ila bado ni vijana na wanaolewa sio hao Mali za umma kama wako.
Kikubwa asitumike ila ni nadra sana kwa vile wa sasa miaka 17 kashaanza michezo ya ovyo
Achana nae huyo hao si ndio lile kundi la "Pick me lady pleaser" yeye hapo anaongea ili mademu wamuone ni gentleman kumbe fala mmoja ambaye anatafuta points za "kisimp".We unaongelea ulimwengu wa kufikirika,
Yaan dunia hii ambayo kitoto cha 18 yrs hakina bikra uje unambie wa 30s awe na bikra? Na 30s majority wanakua tyr wana watoto.
Hebu ongea reality sio mambo ya kufikirika.
Af wewe inaonekana hujatembea. Mie nmefanya kazi makampuni mbalimbali lkn nashuhudia wanawake wanavyotoa nyuchi zao, humo bank, sijui serikalini, sijui wp kuna makahaba lkn huwawezi jua sababu hauna access ya kuwajua. Hao madem zangu nlowaandika hapo juu wana kazi zao nzuri kabisa nikikuonesha hutokubali
Acha kupika pika mambo hapa bwana. Wanaotafuta wanawake ndio wanajua wanakutana na sampuli zipi.Nimekuelewa ila nimeweka exception wale waliojitunza na wapo kwa nadra sana.
Kwa maana hyo kundi kubwa 90% wanafall kweny waliotumika ...Ila hao 30 wapo amini kabisa