Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Asante mkuu,ndo njia yangu pia huenda nilistahili kupita au nimepita bahati mbaya
Mara nyingi mapito ni matokeo ya maamuzi, yanayotokana na matumizi ya akili, tunapaswa kuwa very smart linapokuja swala la maamuzi makubwa makubwa, Sasa unakuta mdada umeingia kwenye mahusiano na mtu in few months unabeba mimba, upo serious kweli???
Kuwa kwenye mahusiano sio kosa lakini kubeba mimba bila mipango au Kwa kudanganywa ubebe ni kosa kubwa sanaaa!

Na hapa ndipo wanawake wengi mnakwama sana
 
Asante mkuu,nimepata kitu
 
No kuwa single mother hakuhusiani kabisa. Kwahiyo unadhani singo maza hawatamani ndoa? [emoji16]
Wengi wao hawataki ndoa wanataka kudanga ili kulea mtoto wake, single mother aina hii wanakuwa wamezalishwa na Mume wa mtu au Wamezalishwa na hawapewi huduma ya mtoto, Ukiona single mother anatamani kuolewa ujue Baba mtoto wake anatoa huduma kwa mtoto kwa %99.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wanataka mwanaume mwenye gari na nyumba life start at 40.
Wanaume wenye nyumba na gari kuwakuta single ni nadra Sana.
Labda wapore mme wa mtu au wanabahatike kupata mwanaume aliyekosea kuoa, au aliyefiwa.
 
Sio kila anaedanga lengo ni kulea mtoto alienae. Wanadanga kwa sababu ndio maisha yao hata akipewa matunzo atadanga tu kama ni mdangaji
 
Af naona kama zimeanza kufanya kazi vile, sababu ujue sijawah take serious kabisa. Ila leo kuna mambo kaniambia asbh na mchana bado yanazunguka kichwani ndo maana nikaona hadi nipost uzi hapa labda yataondoka
Kua makini kijana mwenzangu hasa ao wanawake wa huko uzaramuni watakuingiza shimoni
 
Nailed it, 🀾🀾🀾🀾🀾 dunk kidogo hapo
 
Ulokuta nn mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘
 
Nimeisoma hii point..nikaisoma tena na tena. Aisee...Igweee!! Chukua nyota zako. Japo umetusuuza na stillwire ila sio kesi. Acha tujirekebishe ili tuwe sawa.
 
Hakuna kinachowauma wanawake kama alimkataa mtu ujanani kisa hana pesa na nyumba, then baada ya miaka ikapita akakutana na aliyemkataa zamani akiwa yupo juu yaani ameyapatia maisha.
Si kama mwamposa mkuu

Daah yule mwanamke inamuuma sana kumdharau jamaa alivyokuwa masikini



Sema ndo ajifunze life starts at 40 😁😁
 
Nifanyie makeke
 
Wanataka mwanaume mwenye gari na nyumba life start at 40.
Wanaume wenye nyumba na gari kuwakuta single ni nadra Sana.
Labda wapore mme wa mtu au wanabahatike kupata mwanaume aliyekosea kuoa, au aliyefiwa.
[emoji38][emoji38][emoji38] wapo boss lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…