Furaha ni mythical word. Ukitaka kujua neno Furaha limekaa kimtego tazama namna kila mtu anadefine furaha yake kwa namna yake ndipo unajua ni upumbavu wa kiakili kuingia katika Ndoa ukiwa na malengo ya kuitafuta hiyo furaha kisha eventually ukaikosa ukaona ni bora uende nje tena kuitafuta.
Ndoa ni taasisi, wanandoa wanatakiwa kujiwekeza zaidi kwenye kutekeleza majukumu yao sio kuingia kutaka kufanyiwa mambo ambayo yatawapa mrejesho wa furaha ile wanayoitafuta.
Zamani ndoa zilienda bila kujalisha furaha ilikuwapo ama la ndani ya ndoa sababu wanaume walitekeleza majukumu yao bila kukumbushwa sababu walikuwa wanaoa akina mama ambao wamefundwa kutekeleza wajibu wao hata kama nafsi zao zinavinyongo au hasira.
Nitakupa mfano nje ya maswala ya mahusiano ila ukiuelewa utapata maana ninayotaka kukupa.
Kwa mfano leo hii nitafutie mwanamke msomi ambaye ameajiriwa kwenye kampuni kubwa inayomlipa lets say 2 million ambaye atasusa kufanya majukumu ya ofisini kwake sababu tu bosi wake alimjibu vibaya, au alimfokea au alisahau kumsifia kwa kazi nzuri aliyofanya au hakutokea ofisini. Huyu mwanamke hata asemeshwe kwa dharau au kwa jeuri still utaona anafuata maagizo ya maboss wake na kutekeleza wajibu wake wa kazi bila shuruti sababu hayupo tayari kusimamishwa kazi.
Ila rejea huo mfano kwenye ndoa, wanawake hawa wa kisasa ikatokea amekosea ukamfokea, utaona namna atarespond kama sio kujibizana kwa dharau na jeuri ili achapwe makofi basi ataanza mgomo baridi kwa kukuletea viburi ndani ya Ndoa au kuanza kuleta shida kwenye mambo ya kitandani yaani ataanza kukwepa kuwajibika kama mke na ukimwambia asepe hatoona shida siajabu yeye ndie akaondoka bila kufukuzwa.
Hii inakwambia namna hakuna utayari wa wanawake wa kizazi kipya kutumikia ndoa na kuwajibika. Wanaona ni mzigo ila huko maofisini wanakuwa treated vibaya zaidi na maboss zao still wanatii na kutekeleza maagizo. But end of the day boss anamlipa tu mshahara ambao 50% ya huo mshahara huwa unagharamikia expenses za kwenda ofisini kama mavazi, saloon, na urembo mwingine, gharama za usafiri, na michango ya hapo ofisini just in case imetokea haja ya kuchangiana. Na bado mkataba wa kazi ukiexpire huyu mwanamke anarudi home kwa mume wake au kwao with nothing yaani kampuni aliyoipambania hawezi pata mgao wa urithi wala kuwa mojawapo ya wamiliki hata iwaje.
Sasa mwanamke huyu huyu mumewe ajitahidi kumfungulia biashara ambayo atatia mtaji for free, atanunua usafiri ili watumie kumpelekea na kurejesha nyumbani kutoka hapo sehemu ya biashara, chakula ataletewa na house girl, na bado akitia loss mume atajazia mtaji, na biashara ikikua yeye atakuwa ni sehemu ya wamiliki wake na ni rightful mrithi wa mali za mume wake, na biashara ikikuwa yeye atafaidika ila hizo dharau sasa kwa anayemjengea hii empire sasa pumbavu zao hawa viumbe wasio na hekima.
Kimsingi mwanamke hana akili ya kujiongoza ndio maana akiwa anatumia ubongo wake bila msaada ni kama gari linalokimbia kwa speed 220km/hr katika mteremko mkali tegemea muda wowote atapigiza somewhere na damage itakuwa ni fatality kali beyond repair.
Kuna mzee mwenye busara alinambia, Mwanamke mwenye kiburi huwa hafundishiki, anaachwa ajifunze kwa makosa yake mwenyewe. Now nimeamini aisee. Nikuwaacha tu wakosee wajifunze kwa gharama maana wameleta kiburi kufuata maandiko ya MUNGU wacha sasa wapate tamu ya matendo yao. The more tunawalaumu na kuwasema sema the more tunawapa akili ya kuzidi kukengeuka maana wao dhamira yao ni kuishi nje ya mfumo wa maadili ndicho wanachokitaka why sasa tuwalazimishe kuishi ndani ya maadili ambayo wao wenyewe hawayaamini.
So let us let them learn in Nature's language.