Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

Hakika umenena kiongozi. Hawa viumbe Huwa tunasema hawana akili, kiuhalisia wako ahead of men. Anaweza kukufanyia marking hutoki.

sio kwamba huwa hawafikiri vitu kwa kina ndio maana sometimes wanafanya mambo ya ajabu
 
ni kweli ni ngumu mwanamke kuingia kwenye uhusiano kwa temporarily
YES NI KWELI, ILA Mwanamke huwa ni opportunist, ukiona ameingia kwenye mahusiano na wewe hata kama anakupenda anasoma upepo, je unaeleweka? Na kueleweka ni kuwa na shekeli... Kama huelewek mwanamke ataanza kukutumia kama chombo chake cha kutolea nyege ila ana target zake, ndio mana wanawake wengi huwa wanapumbazwa na physical appearance, akimwona mtu mtanashati anajua "what you see is what you get", anajaa mazima ila sasa akiona hapati alichokuwa anakiespect anakuwepo tu physically ila mentally kuna limandingo lake anakuwa analiwaza na ashajenga picha na ipo siku atakukimbia, Mungu kawaumba hawawez kuvumilia mambo magumu magumu...NDIO MANA WANAWAKE WENGI WANAISH KWA KUBAHATISHA... NA WASHAONA KAMA JAMBO LA MAHUSIANO NI KAMARI SO WAPO MGUU NJE MGUU NDANI...
 
kweli kabisa wengi wapo kwaajili ya "after something". Yaani, Upendo wao wengi wanaouonesha ni "conditionally". alafu unajua watanashati walio wengi ndio unatakuta mfukoni hakuna shekeli.
 
Haya maneno mnasemaga tu.

Miaka ya nyuma kiasi ndo nmetoka chuo nikarudi kwetu kusikilizia kazi, pale kulikua na kadem nakakubali kinoma ndo kalikua kanamalizia six kaende chuo. Yule mdada nilikua nampenda balaa na sijawah kupenda vile aisee. Dem alipoenda first year tu akawa mbogo, kidume nipo naangalia tu biashara za mzee malipo ni wali maharage wa jion na ugali dagaa wa mchana.

Nikaja kupata chance ya internship dsm nikawa naenda kukachk pale mlimani ila kananipotezea balaa, second year akapigwa mimba na rafiki wa kakaake nikaja kujua ndo alikua anakapa kiburi. Sasa hv ni counter kwenye bar fln hv hapa mjini ana watoto watatu kila mtoto baba yake.

Mabinti wachache sana wanajua maana ya true love na wachache zaidi wanajua namna ya kuspot true love, japo wanaume wengi bado wako tyr kutoa true love sema wanakua discouraged
Ulikuwa unashindana na ukweli ulioujua lakini ulikaza shingo mwamba.

Binti hakukupenda na hakutaka kusaliti hisia zake angekukubalia basi angekuwa utumwani kwa mtu asiyempemda, wanawake ni waaminifu mbele ya hisia zao ukiwa ndani ya hisia zake wala hataangalia unanini si mali, si biashara wala kazi atakupa sehemu ya maisha yake wanawake wanajua kupambania wanaume walio mioyoni mwao na wapo tayari kuwavumilia, ukiona mwanamke anarudi kwako baada ya kukusumbua au kukukataa mwanzoni basi jua wewe ni chaguo la pili au la tatu amini nakwambia hata kama angekupa nafasi bado angekutema mbeleni ya safari kwa matukio.
Kukataliwa kunauma sana lakini haina budi kukubali, wengi wetu tukikataliwa tunapenda kuona waliotukataa wanafeli, wanajifungia bahati au wataharibikiwa tukiamini wangekuwa nasi basi ingekuwa kheri kwao... "HAPANA"... Mungu ndio mpangaji wa yote maishani mwetu majuto ni sehemu ya maisha kama ilivyo furaha tu.

"Maisha yana mengi tutambue hata wanaotukataa wana haki ya kuwapenda walio mioyoni mwao.."

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Me siamini kama ndoa ndio furaha kwa wanawake au binandamu, ila huwa sielewi kwanini kwa wanawake kuwa married ipo kwenye cart yao? Kuwa happy ni ni kuwa happy mzee, ila wanawake wengi wakifika 30+ wanakuwaga na stress kama hawako married unadhani kwanini? Huyu wa 23 ni mpuuz na ni mzuri... Sema ana usengelema mwingi
Upweke ndio unaumiza sana hata uwe na nini duniani lakini upweke ogopa sana ndio chanzo cha unconscious mind ni namna binadamu alivyoumbwa lazima afarijiwe na umri ukiwa unazidi kwenda upweke unaleta tishio sana katika nafsi zetu tutambue upweke ni hatari mno inaweza pelekea ukawa na urahibu wa pombe, madawa, sigara, umalaya na tambua mtu yoyote mwenye urahibu mfano wa umalaya ni mtu mpweke, ni mtu mwenye stress nyingi aidha ni visasi vya kukataliwa zamani hivyo ana amini anawakomoa kisa ana vipesa, uoga wa maisha kwa mabinti akiamini kwenye kuhongwa,tamaa ya maisha mazuri, umasikini aliopitia mhusika, uoga,ugumu wa maisha,kutaka asivyo na uwezo navyo, shinikizo la ndani na nje nk
ndio maana yeyote mwenye tabia za umalaya sio mtu mwenye furaha wachunguze vizuri, ataonyesha yuko poa kwa nje lakini sivyo anaigiza amini hilo hivyo inabidi wafanye umalaya wakiamini wanajifariji kumbe sivyo bado wanaumia upweke unawatesa.

Tazama wazungu wanavyojiua/Ya kwa risasi siku hizi ni upweke ndio chanzo wapo wanaoishi na wanyama kujifariji, wapo wanaokesha mitandaoni kuperuzi, lakini bado upweke unawatesa.

Harakati za maisha zina mengi yanayoumiza kuna wakati unahitaji mtu wa kuongea nae yale yanayosumbua roho yako lakini hayupo, tambua hakuna asiye na mipango ya mbele pale inapogoma au mambo kwenda sivyo unahitaji faraja ndipo hapo mapenzi uchukua nafasi hapa sasa ndipo unahitaji kupenda, kupendwa, kusikilizwa nk.

Tazama magerezani kesi nyingi za mauaji ni za mapenzi. wauaji wengi walikuwa na stress za upweke wa mapenzi zilizotokana na usaliti wa kihisia kwa wenza wao.

huu mchango wako mzuri sana ndugu Cumudia
 
Ulikuwa unashindana na ukweli ulioujua lakini ulikaza shingo mwamba.

Binti hakukupenda na hakutaka kusaliti hisia zake angekukubalia basi angekuwa utumwani kwa mtu asiyempemda, wanawake ni waaminifu mbele ya hisia zao ukiwa ndani ya hisia zake wala hataangalia unanini si mali, si biashara wala kazi atakupa sehemu ya maisha yake wanawake wanajua kupambania wanaume walio mioyoni mwao na wapo tayari kuwavumilia, ukiona mwanamke anarudi kwako baada ya kukusumbua au kukukataa mwanzoni basi jua wewe ni chaguo la pili au la tatu amini nakwambia hata kama angekupa nafasi bado angekutema mbeleni ya safari kwa matukio.
Kukataliwa kunauma sana lakini haina budi kukubali, wengi wetu tukikataliwa tunapenda kuona waliotukataa wanafeli, wanajifungia bahati au wataharibikiwa tukiamini wangekuwa nasi basi ingekuwa kheri kwao... "HAPANA"... Mungu ndio mpangaji wa yote maishani mwetu majuto ni sehemu ya maisha kama ilivyo furaha tu.

"Maisha yana mengi tutambue hata wanaotukataa wana haki ya kuwapenda walio mioyoni mwao.."

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nunua v8 naja lipa 😬😬😬
 
Upweke ndio unaumiza sana hata uwe na nini duniani lakini upweke ogopa sana ndio chanzo cha unconscious mind ni namna binadamu alivyoumbwa lazima afarijiwe na umri ukiwa unazidi kwenda upweke unaleta tishio sana katika nafsi zetu tutambue upweke ni hatari mno inaweza pelekea ukawa na urahibu wa pombe, madawa, sigara, umalaya na tambua mtu yoyote mwenye urahibu mfano wa umalaya ni mtu mpweke, ni mtu mwenye stress nyingi aidha ni visasi vya kukataliwa zamani hivyo ana amini anawakomoa kisa ana vipesa, uoga wa maisha kwa mabinti akiamini kwenye kuhongwa,tamaa ya maisha mazuri, umasikini aliopitia mhusika, uoga,ugumu wa maisha,kutaka asivyo na uwezo navyo, shinikizo la ndani na nje nk
ndio maana yeyote mwenye tabia za umalaya sio mtu mwenye furaha wachunguze vizuri, ataonyesha yuko poa kwa nje lakini sivyo anaigiza amini hilo hivyo inabidi wafanye umalaya wakiamini wanajifariji kumbe sivyo bado wanaumia upweke unawatesa.

Tazama wazungu wanavyojiua/Ya kwa risasi siku hizi ni upweke ndio chanzo wapo wanaoishi na wanyama kujifariji, wapo wanaokesha mitandaoni kuperuzi, lakini bado upweke unawatesa.

Harakati za maisha zina mengi yanayoumiza kuna wakati unahitaji mtu wa kuongea nae yale yanayosumbua roho yako lakini hayupo, tambua hakuna asiye na mipango ya mbele pale inapogoma au mambo kwenda sivyo unahitaji faraja ndipo hapo mapenzi uchukua nafasi hapa sasa ndipo unahitaji kupenda, kupendwa, kusikilizwa nk.

Tazama magerezani kesi nyingi za mauaji ni za mapenzi. wauaji wengi walikuwa na stress za upweke wa mapenzi zilizotokana na usaliti wa kihisia kwa wenza wao.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuelewa sana ila mkuu furaha ya kweli inatengenezwa na wewe mwenyewe kwanza bila kutegemea mtu baki... Kumbuka ukiweza kuwa happy wewe unaweza kumfanya mwingine awe happy ndio mana mimi watu wananishangaaga mwanamke hata awe mzuri vipi sijui kumlazimisha au kumtengenezea mazingira ya kumpopoa sababu huwa naona ni kujipotezea muda utambomoa utaingia mazima atakupenda miez miwili ataenda kwa anaempenda... Me kwakweli nimeamua niache mambo yaende tu naturally sitak kuhangaika na kina mama hawa wanazingua sana... Nna story mingi za kweli za mifano ya vijana kujifunza ntakuja kusimulia one day, nikipata time
 
dah mimi ilipofikia naona ni bora nipige simu nyumbani wanitafutie kabinti niweke ndani, maana dah hawa wa hapa duh
 
Back
Top Bottom