Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tawireeee😅😅😅Hahahaaa, kama watu mijini walivyo na wanasheria mm nina kalumanzila wangu ameshaweka shield za kutosha
MaliziaKuna mkoa nilienda nikaunganishwa na pisi moja ya moto Sana, baada ya makubaliano ikasema twende kwake. Nikaingiza miss kidogo, Ila baadae Yule aliyeniunganisha nae akanihakikishia usalama, coz nilikuwa namuamini kutokana tunafanya kazi taasisi moja nikakubali. Kutoka nje pisi imepaki matako ya nyani tukazama kwake AISEEE nilichokikuta ni hatari Sana.
[emoji38][emoji38][emoji38] hujakosea utasikia sijaweka mambo sawa una haraka ganiHuwa vina kauli fulani hivi eti vinajibu "sinamaliza mambo yangu, nikimaliza ndiyo nitaingia kwenye ndoa". Utadhani vina mipango fulani amazing kumbe uzinzi tu.
Hii ni kweli kabisaHakuna kinachowauma wanawake kama alimkataa mtu ujanani kisa hana pesa na nyumba, then baada ya miaka ikapita akakutana na aliyemkataa zamani akiwa yupo juu yaani ameyapatia maisha.
Nini huyo, unamuona Naseeb Abdul yaani Diamond. Hii alitoa Hadithi yake kabisa akihadithia akasema kipindi akiwa Naseeb alikuwa anapitia maisha ya chini sana sasa kuna demu alikuwa anamuelewa sana. Huyu demu alikuwa hajamuelewa diamond so akawa anamlia vihela vyake vidogo vidogo.Mfano mzuri yupo mwamba anajiita captango instagram anamiliki mahoteli zanzibar na kampuni za tours, akiwa down alitoswa na demu aliambiwa na demu hana future kipindi hicho ni masikini hana kitu, hio speech ilimuumiza Sana alikuwa kampenda Sana huyo demu ikampa spirit ya kupambana leo ni tajiri. Wasichokielewa watoto wa kike maisha hayasimama akikuona leo upo down huna kitu wao ukariri ndo ushafeli hivyo dharau kibao.
Kusota ni miaka kutoka ni siku moja tu.
Ukikafuatilia sasa hayo anayosema ni mambo yake. Upumbavu mtupu, ni kuvizia Serengeti lite na Desperado za bure huko kwenye mitoko ya kumendea, vinapenda kupewa pewa offer, kupewa lift kwenye magari ya watu ambao wana wake zao, kuvaa nguo za mitego ili viitwe.Huwa vina kauli fulani hivi eti vinajibu "sijamaliza mambo yangu, nikimaliza ndiyo nitaingia kwenye ndoa". Utadhani vina mipango fulani amazing kumbe uzinzi tu.
BalaaUkikafuatilia sasa hayo anayosema ni mambo yake. Upumbavu mtupu, ni kuvizia Serengeti lite na Desperado za bure huko kwenye mitoko ya kumendea, vinapenda kupewa pewa offer, kupewa lift kwenye magari ya watu ambao wana wake zao, kuvaa nguo za mitego ili viitwe.
Yaani vimeweza sana kuipa uzito ile maana ya neno Foolish age.