Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa mara ya kwanza.
Hallow; warembo msi 'fake' maisha, ishi maisha yenu; kuagiza vitu vya bei ghali aimaanishi kuwa wewe ni mjanja.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa mara ya kwanza.
Hallow; warembo msi 'fake' maisha, ishi maisha yenu; kuagiza vitu vya bei ghali aimaanishi kuwa wewe ni mjanja.