Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa mara ya kwanza.

Hallow; warembo msi 'fake' maisha, ishi maisha yenu; kuagiza vitu vya bei ghali aimaanishi kuwa wewe ni mjanja.
View attachment 2530554
Nilishawahi kuleta uzi kama hapa miaka ya nyuma lkn naona bado hawataki kujirekebisha[emoji2]

Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa mara ya kwanza.

Hallow; warembo msi 'fake' maisha, ishi maisha yenu; kuagiza vitu vya bei ghali aimaanishi kuwa wewe ni mjanja.
View attachment 2530554
🤣🤣🤣🤣🤣Si ndio me nawaambia wadada kila siku. Tuwe wawazi na wakweli.
 
Si hamtutaki wazee pia? Pambaneni nao
Uwiiii!! Nina alegi na Vijana miee kwanza wapite hiviiušŸ˜!

Mtu mziwa Wangu alie matured enough anitosheleza sina sababu ya kurukaruka nješŸ¤øšŸ’ƒ!
 
Back
Top Bottom