Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa mara ya kwanza.

Hallow; warembo msi 'fake' maisha, ishi maisha yenu; kuagiza vitu vya bei ghali aimaanishi kuwa wewe ni mjanja.
 
Sasa nawe acha kuwaambia waagize watakacho....waambie waagize fruto kama hujiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…