Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

Nilishawahi kuleta uzi kama hapa miaka ya nyuma lkn naona bado hawataki kujirekebisha[emoji2]

 
🤣🤣🤣🤣🤣Si ndio me nawaambia wadada kila siku. Tuwe wawazi na wakweli.
 
Si hamtutaki wazee pia? Pambaneni nao
Uwiiii!! Nina alegi na Vijana miee kwanza wapite hiviiu😏!

Mtu mziwa Wangu alie matured enough anitosheleza sina sababu ya kurukaruka nje🤸💃!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…