Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

Wewe ni mbugira ndio maana unapewa invoice na hao madada. Unapenda kuonesha ufahari kumbe unaogopa kutoa pesa. Siku 3 mnapelekana hadi hotel nzuri.

Wenda ili ni tangazo unataka uwakamate na jf
 
Inawezekana unatongoza kishua sana, maongezi na swagga zako haziko real ndo maana mademu wanakuchukulia kama mtu wa kupita tuu, hivyo wanaona ni bora wakuchune hata ukizingua wasione hasara. Demu anayekukubali na kukupenda hakuonbi hela mapena na haraka hivyo
 
umenichekesha leo nimekutana na wasabato wamekula tai nyekundu miwan nyekundu suruale nyeupe na viatu vyekundu. Sijui walikuwa wanaenda kutoa posa.

Haki ya nani fanta leo zitaomba poh.
Wasabato hatuna uhusiano na ushamba, tunacho jali n kuvaa mavazi ya heshima yanayo mpa Mungu utukufu
 
Mimi nimekapata katoto kakipalestina ni kazuri hatari hakajaniomba ela mwezi unakatika hapa najiuliza ni bomu ananitegeshea au nimeokota dodo chini ya mfenesi??? [emoji15]
 
Mm nimekapata katoto kakipalestina ni kazuri hatari hakajaniomba ela mwezi unakatika hapa najiuliza ni bomu ananitegeshea au nimeokota dodo chini ya mfenesi??? [emoji15]
Kuna mtu anampa hizo hela 😅😅😅😅 relax
 
Wengi wanaingia kwenye mahusiano ili kutafuta unafuu wa kiuchumi
 
Wasabato hatuna uhusiano na ushamba, tunacho jali n kuvaa mavazi ya heshima yanayo mpa Mungu utukufu
Sawa mkuu ila hawoo wasabato nilio kutana nao utafikiri wamepigwa rangi nguo zinavyoo ng'aa nikajua ndo kamchezo kenu.
 
Ukute msabato halafu ni polisi sasa hapo inakuwa ni zaidi ya kisanga hivi kwanini wanakunywaga mafanta yale na ma Pepsi?
Ulisha kutana ambae kaachwa au ana stress meza ni fulu mafanta alafu huwa wanakambinu kakutembea na BIG G wanatafuna ili gas isiwasumbue.
 
Back
Top Bottom