Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

Tangazo limekaa poa ila ungeweka na "kapicha" ingekuwa poa zaidi
 
Sioni hata tatizo hapo. Kama huna si unasema huna tu.

Sababu gazeti lote hilo hamna uliposema uliwahi kumwambia hata mmoja kwamba huna, we waambie uone mahusiano yataendelea ama La.
Nilijaribu kumwambia mmoja asubiri siku mbili nitamtumia. Aliandika msg yenye maneno ya kunifanya nijione mimi mhuni... Sielewi why alinichukia vile...kwa kuwa huwa sipendi maneno basi mwingine nampa then na mblock. Maana sipendi maugomvi na watu
 
Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…