Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

Ibraah ft harmonize #DHARAU
mungu aliyenipa ukilema hawezi ninyima mwendo,
na sikupanga ila imenibidi kulivua pendo,
maana mwanzo nilidhani utabdilika,
of course hakuna aliyekamilika,
masaa, masiku miaka imekatika,
nachukia kujiona nikilalamika,
bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani,
mateso vitimbwi kurupushani kama unajiona kichwa shingo nani?
mi sipendi dhara......
HILI GOMA LINAGUSA MAISHA YANGU HALISI YA MAHUSIONI.
Adam Clark
 
kabhundi onoko-shinje
omalile ehela -shinje
hatunywi sumu wala hatuji nyongi-CCM
 
Screenshot_2024-06-05-19-55-06-612_com.spotify.music.jpg
 
Back
Top Bottom