Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Pesa tunda man ft madee.Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
Hii list yako inatwin na ManenoPesa tunda man ft madee.
Nitarejea by diamond platinum.
Never give up by harmonize.