Nyimbo gani ukisikiliza inakupa mzuka wa ku-dance?

Napenda watu watundu
Kwahiyo wenye chura wanakuaga watundu eeh. Sema inawezekana. Marafiki zangu watundu jamani. Yani tukianza kucheza utasema watoto na vile tulishakataa kuwa wakubwa ndo kabisaaa
 
Hata ambao hawana chura wanaweza kuwa watundu inategemea na ubunifu tu...rafik zako wote wana chura kama lako?!
 
Back
Top Bottom