Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Me sikumbuki akiVipi ulipokuwa unapita mitaani ulikuwa unasikia nyimbo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me sikumbuki akiVipi ulipokuwa unapita mitaani ulikuwa unasikia nyimbo gani
Basi wasalimie KenyaMe sikumbuki aki
SanaUnaujua rangi ya chungwa
Nani kaimbaSana
Yaani huniambii kitu kuhusu hiyo ngoma.Sawa mkuu
Tabora jazzNani kaimba
Ukihitaji nakutupia upate ku enjoyNani kaimba
Naona hiyo ndo ilikuwa hitsongTabora jazz
OkUkihitaji nakutupia upate ku enjoy
Wala hujakosea mkuu. Pia Kuna moja ya Les wanyika inaitwa amigo, ipakue uone maajabu yake.Naona hiyo ndo ilikuwa hitsong
Les wanyika labda sina makosaWala hujakosea mkuu. Pia Kuna moja ya Les wanyika inaitwa amigo, ipakue uone maajabu yake.
Mkuu wale jamaa hawafai katu, Wana mapini makali heilezeki kuanzia kwenye kasuku, afro, barua n.kLes wanyika labda sina makosa
Kasuku ndo ile sitaki maneno auMkuu wale jamaa hawafai katu, Wana mapini makali heilezeki kuanzia kwenye kasuku, afro, barua n.k
NdiyoKasuku ndo ile sitaki maneno au
Afu ni wakenya eehNdiyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 "waafrika nabii wetu ni nani..." 😂😂😂Yaani huniambii kitu kuhusu hiyo ngoma.
Kumanyoko🤣🤣🤣🤣🤣🤣 "waafrika nabii wetu ni nani..." 😂😂😂
Members wake ni kutoka Tanzania na Kenya lakini makao yao yalikuwa Kenya NairobiAfu ni wakenya eeh
Aah okMembers wake ni kutoka Tanzania na Kenya lakini makao yao yalikuwa Kenya Nairobi