Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Album hizi
1.Wenge BCBG 4*4 - Pentagone na vibao kama Pentagone, Filandu, Dizoizo, Etepe Buengo, Coco Madimba
2. Jb Mpianna na Wenge BCBG -Toujour Humble (TH) vibao kama 48 Heures Gecoco, Feux De L'amour nk pamoja na Album ya TITANIC
3. Wenge Musica Maison Mere- Solola Bien
4. Awilo Longomba- Coupe Bibamba album na Vibao kama Gate le Coin, Mobimba ya Mama, Coupe Bibamba, Fifi nk
5. Hamza Kalala- hii album imenitoka Jina ila ni ile yenye wimbo unaimba, "Toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma"
6. Tumaini St. James Choir-Shangilieni album nzima
7. Msondo Ngoma Baba ya Muziki kuanzia Vol 1-4
8. Wenge El Paris
9. King Kester Emeneya with Victoria Eleison Dream Team Dream Band na vibao kama Moto na Tembe nk
10. Sos B- kukurukakara zako
11. Sugu-Mikononi mwa Polisi
12. Pepe Kale na Pappy Tex album ikiitwa Full Option.
13. Lucky Dube-The way it is, Prisoner
14. Angelique Kijo-Agolo
15. Magic System- Gaou
16. Venga Boys-Brazil and Uncle John From Jamaica


Kweli Old is Gold, Muziki ulikua Muziki haswa.
 
Usipate tabuu neerma uliyoyafanya Siyo mageni hapa duniani eeeee

Ikiwa ni kupendaaana mamaaa wapo waliopendana kama kumbikumbi ,
Kumbikumbi yooo wanapendana Sana hata wakati wakutembea ....
Dddc mliman park
 
Back
Top Bottom