Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Feeling nostalgic 🥺

Binafsi, wazazi walipenda mno muziki, nimekua nikisikiliza na kucheza muziki toka utotoni, memories ni nyingi.

Franco / Le TP OK Jazz - Mario

View: https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=_6WGbT7EumRT0wX1

Kaoma - Lambada

View: https://youtu.be/iyLdoQGBchQ?si=97RUW6SNjSP8kUec

Kanda Bongo Man Monie

View: https://youtu.be/CZDNoV0DQ5I?si=Pl1x9ATUW_vjdduI

ABBA - Dancing queen

View: https://youtu.be/xFrGuyw1V8s?si=Ucdsq-4SrnUO1FWL

Samba mapangala - Vunja Mifupa

View: https://youtu.be/pISBUsz_7SI?si=lELT2GcN3sZg_IKN

Tshala Mwana - Dezo Dezo

View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=B_ZKop2WSjCh8UEe

Extra Musica - Etat-Major - Roga Roga

View: https://youtu.be/duwX7_5Aexs?si=hC9d4LTgIrRer2Z0

Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Kwa Viumbe Vyote

View: https://youtu.be/DMkmwND8h0M?feature=shared

Tune Turner - What’s love gotta do with it

View: https://youtu.be/oGpFcHTxjZs?si=Q7SCkFUmHtY-ee7I

Asante Mleta uzi,
Maisha fulani maeneo fulani Morogoro kwenye quarter mshua alikuwa na hayo Masanturi yana hizo miziki; basi kuna zile nyakati za sikukuu washua katika qurtar hizo wakikuwa wanachangishana wanatuandalia party, tunakula then baadae mashindano ya Disco baadae inakuwa mtoano na mshindi anazawadiwa Cret la soda na zawadi kemkem ikiwemo cash nakumbuka dada mmoja alikuwa anaitwa Vicencia Mwingizi ndo walikuwa mara zote wanakuwa washindi na mwenzake Aigele walikuwa wakali wa break dance nakumbuka vicencia alikuwa mkali sana wa kucheza ile holiday ya Madonna na mfano wake now we call it oldies/ flashback wakat Aigele alikuwa mkali wa break dance za kina Mc Hammer, Arrested Development and the like.

Na hadi sasa mm ndio miziki yangu ambayo i used to listen kwenye gar au nikiwa nataka utulivu. My friend wananiulizaga unayapendea nini haya Manyimbo nawajibu kirahisi kuwa yamenilea!

Rest easy Uswege Mwakipiti mzee ambaye alikuwa ndiye Coordinator na hizi Party!

Leave Longer Kyando DJ ambaye ulijua kutupa burudani kipindi hicho.

Mkitaka ku enjoy hizo ngoma join The Legend Kwa Jonh Dillinga anazipiga sana na huwa nashiriki sana kupata memories za kitambo hicho!!
 
Asante Mleta uzi,
Maisha fulani maeneo fulani Morogoro kwenye quarter mshua alikuwa na hayo Masanturi yana hizo miziki; basi kuna zile nyakati za sikukuu washua katika qurtar hizo wakikuwa wanachangishana wanatuandalia party, tunakula then baadae mashindano ya Disco baadae inakuwa mtoano na mshindi anazawaduwa Cret la soda nakumbuka dada mmoja alikuwa anaitwa Vicencia ndo wakikuwa mara zote wanakuwa washindi na mwenzake Aigele walikuwa wakali wa break dance nakumbuka vicencia alikuwa mkali sana wa kucheza ile holiday ya Madonna na mfano wake now we call it oldies/ flashback wakat Aigele alikuwa mkali wa break dance za kina Mc Hammer, Arrested Development and the like.

Na hadi sasa mm ndio miziki yangu ambayo i used to listen kwenye gar au nikiwa nataka utulivu. My friend wananiulizaga unayapendea nini haya Manyimbo nawajibu kirahisi kuwa yamenilea!

Rest easy Uswege Mwakipiti mzee ambaye alikuwa ndiye Coordinator na hizi Party!

Leave Longer Kyando DJ ambaye ulijua kutupa burudani kipindi hicho.

Mkitaka ku enjoy hizo ngoma join The Legend Kwa Jonh Dillingq anazipiga sana na huwa nashiriki sana kupata memories za kitambo hicho!!
Safi sana, your childhood sounds lovely, asante kwa kushare memories 😊
 
kula chuma hiyo kizaizai
View attachment 3262490
Ngoma zinakata kata mkuu , sema nini, sijawahi ona mwanamke nilie mpenda kama vick wa babati , na hauwezi amini yeye ndio alianza ila mwisho wa siku sikulamba kitu na mimi ndio nikaoza mazima, na utu uzima wangu hawezi amini nilishafunga safari kumtafuta nikaambiwa kaolewa huko UK, Black flani hivi sijui kama unaniewa mkuu😁😁😁😁
 
hahaha! nimeelewa hapo kwenye black fulani hivi mpk nimekuwa kama namuona!..
zinakata kivipi cheki network yako
 
hahaha! nimeelewa hapo kwenye black fulani hivi mpk nimekuwa kama namuona!..
zinakata kivipi cheki network yako
Dah kiufupi vick alikua chotara wa kimbulu na kichaga halafu mboga 7 mkali kinouma, miaka ya 97 hivi tulikutana kwenye mitihani ya ujirani mwema darasa la saba, babati vijijini vs mjini alafu mimi nipo kijijini na ndio mnyamwezi peke yangu kwa darasa letu ....... itandelea. Gademit 😁
 
aisee! watu mmekula chumvi yani 97 mnafanya mitihani..😅
 
Dah kiufupi vick alikua chotara wa kimbulu na kichaga halafu mboga 7 mkali kinouma, miaka ya 97 hivi tulikutana kwenye mitihani ya ujirani mwema darasa la saba, babati vijijini vs mjini alafu mimi nipo kijijini na ndio mnyamwezi peke yangu kwa darasa letu ....... itandelea. Gademit 😁
Wapenzi watazamaji tunasubiri muendelezo 🍿
 
Back
Top Bottom