min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahah ka 40 bado kananichungulia sema ukisema huku unaonekana dogo usiye jitambua 🤣🤣🤣🤣 sema nini napenda furaha sanaIyo kipindi Cha early 90's
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah ka 40 bado kananichungulia sema ukisema huku unaonekana dogo usiye jitambua 🤣🤣🤣🤣 sema nini napenda furaha sanaIyo kipindi Cha early 90's
Mimi ka mid 40's mvi zimeanza napiga black Kama majaliwa kasim majaliwa.Hahah ka 40 bado kananichungulia sema ukisema huku unaonekana dogo usiye jitambua 🤣🤣🤣🤣 sema nini napenda furaha sana
Mh! sidhani mi zamani nilikuwa sipendi R&B sasahivi sasa ndo zinanipa usingizi!View attachment 3261955Wataalam wanasema muziki uliousikiliza ukiwa na takribani miaka 13 ndio huwa taste yako ya muziki. Muziki wa kikongo ndio muziki ambao nimekuwa nao nyumbani kwetu miaka ya 1990 akisikiliza mzee. Pia Chaka Chaka, Whitney, Abba zilikuwa ni ngoma za mama yangu. Braza wangu mmoja ndiye aliyenitambulisha kwenye hip hop ya Tupac. Uncle wangu yeye alikuwa ni mzee wa reggae. No wonder hadi leo, Reggae, Rhumba Congolese na Rap ndio miziki niipendayo.
Hii album ya Koffi ya V12 ndio album naisikiliza toka niko Primary School Tabora 1990s hadi leo hii, 2025, March 06 saa 5 na dakika 48 usiku.
Tule vinywaji changamshi tu bro😂 huku tukishushia na ngoma laini kabisa maisha hayapo seriously hivyo😃Mimi ka mid 40's mvi zimeanza napiga black Kama majaliwa kasim majaliwa.
kwani demi we ni mkubwa kiasi gani..?😅Aisee...kuna watoto wetu humu.
Vyombe na r& b vina mahusiano ya karibu bro🤣Mh! sidhani mi zamani nilikuwa sipendi R&B sasahivi sasa ndo zinanipa usingizi!
Na hamu na chair fire 🔥 Leo ngoja nikaipigeeTule vinywaji changamshi tu bro😂 huku tukishushia na ngoma laini kabisa maisha hayapo seriously hivyo😃
Dah! ndo kusema nimekuwa konki..?🤣Vyombe na r& b vina mahusiano ya karibu bro🤣
Kuna brother mmoja alikua anatutania kua tutaoa wazungu sababu ya kupenda r&b yaan mpaka unasinzia kwa kubembelezwa.Mh! sidhani mi zamani nilikuwa sipendi R&B sasahivi sasa ndo zinanipa usingizi!
Nyimbo nzuri na kumbukumbu nzuri ya mama, May her soul rest in peace 🙏🏽👉Usiusemee moyo-lady jaydee , nyambizi-duly sykes, maisha ni foleni ya bony mwaitege
👉Sauti ya manka-king crazy gk
Kwaya zote za catholic za 1995-2010
, 👉Bahati bukuku, upendo nkone
👉Njiwa peleka salamu - sikumbuki yule mama aliitwa nani
👉Vyonne chaka songs
👉Mafikizolo-meet up the river
👉Lucy dube-remember me
👉Mwanangu soma-von mwaitege
Kwa kifupi rest in peace my mother 🙏alifanya nikapenda sana hizo nyimbo twaja hapo juu
Na uzee pia unachangia mkuu😂Dah! ndo kusema nimekuwa konki..?🤣
Dah nguruwe hii nyimbo yako inaleta kichefuchefu.
mi bado kuzeeka..😅Na uzee pia unachangia mkuu😂
Uzimue kidogo kufanya mmeng'enyo ukae vizuri daktari.Na hamu na chair fire 🔥 Leo ngoja nikaipigee