Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

👉Usiusemee moyo-lady jaydee , nyambizi-duly sykes, maisha ni foleni ya bony mwaitege
👉Sauti ya manka-king crazy gk
Kwaya zote za catholic za 1995-2010
, 👉Bahati bukuku, upendo nkone
👉Njiwa peleka salamu - sikumbuki yule mama aliitwa nani
👉Vyonne chaka songs
👉Mafikizolo-meet up the river
👉Lucy dube-remember me
👉Mwanangu soma-von mwaitege


Kwa kifupi rest in peace my mother 🙏alifanya nikapenda sana hizo nyimbo twaja hapo juu
 
Pia nili mkubali Sana KALI POPOTE A.k.a KALI_P.

WEWE MAMA KIBONGE WEWE..UNAUZA GONGO KWANI UONGO.

😊😅
 
Back
Top Bottom