Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Bila shaka ni Ney wa mitegoWapambeee tusiwakubaliii,mimi nawe tushikamaneee,tusisikilize uzushiiii,nia yao tufarakaneeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka ni Ney wa mitegoWapambeee tusiwakubaliii,mimi nawe tushikamaneee,tusisikilize uzushiiii,nia yao tufarakaneeee
Daaah Selina hiyo.Wapambeee tusiwakubaliii,mimi nawe tushikamaneee,tusisikilize uzushiiii,nia yao tufarakaneeee
Hamna kitu hapoHii album ya Koffi ya V12 ndio album naisikiliza toka niko Primary School Tabora 1990s hadi leo hii, 2025, March 06 saa 5 na dakika 48 usiku.
Kahama. Moja ya mji wenye kumbukumbu nyingi sana maishani mwangu. Hustles na starehe.Gato -Azalaki awaa .Malunga kahama- Shinyanga .Life la kihayawani kinoma .Namshukuru Mungu kwa kila kitu.
BIZMANBila shaka ni Ney wa mitego
Mji wangu na ndio moyo wangu upo.Kahama. Moja ya mji wenye kumbukumbu nyingi sana maishani mwangu. Hustles na starehe.
unizalie na wanaaaaa.......Daaah Selina hiyo.
Seli wangu we kimwanaaaa, nataka tufunge ndoa ……….
hahaha au sio
pindi utakapo nioaaaa ……….unizalie na wanaaaaa.......
Na naniBIZMAN
Funguka kama unateswa, tukufariji 😂🤣hahaha au sio
kuteswa bado sana aunt labda kutesaFunguka kama unateswa, tukufariji
Nimefanya kazi za magari, kahama mwanza, kahama bariadi, kahama to ulyankulu to mwamnange. A very beautiful experience. Hela ipo aise huko. 101, Chillaz.Mji wangu na ndio moyo wangu upo.
Oiiii.
Sawa, usiteseke mpwa. Kula maisha 🥳kuteswa bado sana aunt labda kutesa