Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah umenikumbusha mzee wangu 🥹🥹🥹 (RIP dad) alikua anaupenda sana.Muongo na Mulozi ni watu wa Kuchoma....
Kama ID yangu inavyosema 🙂, si unaona jina hilo 😂😂😂Kufuatia nyimbo hizi mtoa post tupo kwenye mid 40's. Limshamgazi kabisa.
Utoto wangu ulikua na furaha sana ila hizi nilizoweka inawezekana ulikua hujazaliwa zilipotoka 😂😂.Mbona hamna nymbo inanirudisha utotoni😂
Mshangazi dot com umewzaje kurudi utotoni🤣
haha mamboMjulie watu Hali jamani
Daah umenikumbusha mzee wangu 🥹🥹🥹 (RIP dad) alikua anaupenda sana.
View: https://youtu.be/-8FxV_tIGQ8?si=PE-ArmVBTMfXo8gV
Naomba jina la huu wimbo tafadhaliNaukumbuka wimbo SALOME JUU YA KABURI LAKO NALIAAA KILIO UNAKISIKIAAA.... nayakumbuka maharage ya boarding school yenye funza
Wimbo unaitwa "Salome by Dully Sykes"Naomba jina la huu wimbo tafadhali
Ahsante mkuu wangu za siku ,shamba mambo yanaenda au umetoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango kisa mvua kaka ?Wimbo unaitwa "Salome by Dully Sykes"
Habari ni njema MkuuAhsante mkuu wangu za siku ,shamba mambo yanaenda au umetoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango kisa mvua kaka ?
Pole sana kaka .Habari ni njema Mkuu
Hizi mvua za Mwaka huu zimenipa hasara sana
Hapa najipanga niende Benki nikakope ili nianze kulima Kwa kumwagilia tu.
Nichimbe Visima vya kutosha shambani kwangu ili niwe na uhakika wa mazao
Otherwise, mnaweza kunikuta natembea naongea pekeyangu barabarani 😜
Zote ni muziki mzuri bila fujo👌🏼Kipindi nakuwa tulikuwa tunakaa ndani huwezi amini hata kucheza michezo na machalii ilikuwa ngumu
Kwahiyo nilijikuta naziskiza nyimbo za nyuma zaidi tofaut na za wakati huo,
Yote tisa 👇
👉Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote,
👉 Dezo Dezo
👉Muchana
👉Cindelela
Aisee...kuna watoto wetu humu.Number one,Mdogomdogo,Nitampata wapi,Nana,Utanipenda,Kidogo na Salome za Diamond Platnumz.
Kitambo sana!
Yani, naangalia hizi replies nabaki kutabasamu tu.Aisee...kuna watoto wetu humu.
Unaweza kuikimbia jf maana watoto wako wate wamejaa hunu, baada ya miaka 5 wajukuu nao watatimba hapa. Sijui itakuaje..Yani, naangalia hizi replies nabaki kutabasamu tu.