Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Daah umenikumbusha mzee wangu 🥹🥹🥹 (RIP dad) alikua anaupenda sana.

View: https://youtu.be/-8FxV_tIGQ8?si=PE-ArmVBTMfXo8gV

Wimbo Toujours hii ni Album ya mwisho ya Le Grande Maitre Franco Luambo Makiadi ft Sam Mangwana. Utaona hapo Franco amekonda sana na amepoteza nuru. R.I.P Franco.

Nyongeza: Sam Mangwana ni rafiki wa kweli na msiri wa Franco, mpaka sasa Sam hujawahi zungumza lolote juu ya Franco kwa namna yeyote, nzuri au mbaya. Ni Sama ndie alikuwepo na Franco baada ya wote kumgeuka akiwepo Madilu na kuanza kuongea "gossiping" udaku juu ya afya ya Franco.
 
Ahsante mkuu wangu za siku ,shamba mambo yanaenda au umetoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango kisa mvua kaka ?
Habari ni njema Mkuu

Hizi mvua za Mwaka huu zimenipa hasara sana

Hapa najipanga niende Benki nikakope ili nianze kulima Kwa kumwagilia tu.

Nichimbe Visima vya kutosha shambani kwangu ili niwe na uhakika wa mazao

Otherwise, mnaweza kunikuta natembea naongea pekeyangu barabarani 😜
 
Kipindi nakuwa tulikuwa tunakaa ndani huwezi amini hata kucheza michezo na machalii ilikuwa ngumu

Kwahiyo nilijikuta naziskiza nyimbo za nyuma zaidi tofaut na za wakati huo,

Yote tisa 👇
👉Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote,

👉 Dezo Dezo

👉Muchana

👉Cindelela
 
Pole sana kaka .
Mwenzio mwaka huu nilisema nahitaji nilime kiazi cha chipsi kwa large scale nikachukua viakiba vyangu vyote nikatia kwenye kilimo
Na wazee wangu wa kilabuni siwapi tena tips nawaambia subiri nivune tutahamia kwenye bar kubwa ila ninayoyashuhudia najiona nikiacha hata kuwatembelea maana sasa naona aibu na hasara juu
 
Kipindi nakuwa tulikuwa tunakaa ndani huwezi amini hata kucheza michezo na machalii ilikuwa ngumu

Kwahiyo nilijikuta naziskiza nyimbo za nyuma zaidi tofaut na za wakati huo,

Yote tisa 👇
👉Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote,

👉 Dezo Dezo

👉Muchana

👉Cindelela
Zote ni muziki mzuri bila fujo👌🏼
 
Nilikuwa na mkubari sana AY mpaka na zeeka na wajukuu nitawaeleza huyu jamaa alikuwa charl champlini baada ya kuingia ccm
IMG_0747.jpeg
 
Back
Top Bottom