Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Asante Mleta uzi,
Maisha fulani maeneo fulani Morogoro kwenye quarter mshua alikuwa na hayo Masanturi yana hizo miziki; basi kuna zile nyakati za sikukuu washua katika qurtar hizo wakikuwa wanachangishana wanatuandalia party, tunakula then baadae mashindano ya Disco baadae inakuwa mtoano na mshindi anazawadiwa Cret la soda na zawadi kemkem ikiwemo cash nakumbuka dada mmoja alikuwa anaitwa Vicencia Mwingizi ndo walikuwa mara zote wanakuwa washindi na mwenzake Aigele walikuwa wakali wa break dance nakumbuka vicencia alikuwa mkali sana wa kucheza ile holiday ya Madonna na mfano wake now we call it oldies/ flashback wakat Aigele alikuwa mkali wa break dance za kina Mc Hammer, Arrested Development and the like.

Na hadi sasa mm ndio miziki yangu ambayo i used to listen kwenye gar au nikiwa nataka utulivu. My friend wananiulizaga unayapendea nini haya Manyimbo nawajibu kirahisi kuwa yamenilea!

Rest easy Uswege Mwakipiti mzee ambaye alikuwa ndiye Coordinator na hizi Party!

Leave Longer Kyando DJ ambaye ulijua kutupa burudani kipindi hicho.

Mkitaka ku enjoy hizo ngoma join The Legend Kwa Jonh Dillinga anazipiga sana na huwa nashiriki sana kupata memories za kitambo hicho!!
 
Safi sana, your childhood sounds lovely, asante kwa kushare memories ๐Ÿ˜Š
 
kula chuma hiyo kizaizai
View attachment 3262490
Ngoma zinakata kata mkuu , sema nini, sijawahi ona mwanamke nilie mpenda kama vick wa babati , na hauwezi amini yeye ndio alianza ila mwisho wa siku sikulamba kitu na mimi ndio nikaoza mazima, na utu uzima wangu hawezi amini nilishafunga safari kumtafuta nikaambiwa kaolewa huko UK, Black flani hivi sijui kama unaniewa mkuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
hahaha! nimeelewa hapo kwenye black fulani hivi mpk nimekuwa kama namuona!..
zinakata kivipi cheki network yako
 
hahaha! nimeelewa hapo kwenye black fulani hivi mpk nimekuwa kama namuona!..
zinakata kivipi cheki network yako
Dah kiufupi vick alikua chotara wa kimbulu na kichaga halafu mboga 7 mkali kinouma, miaka ya 97 hivi tulikutana kwenye mitihani ya ujirani mwema darasa la saba, babati vijijini vs mjini alafu mimi nipo kijijini na ndio mnyamwezi peke yangu kwa darasa letu ....... itandelea. Gademit ๐Ÿ˜
 
aisee! watu mmekula chumvi yani 97 mnafanya mitihani..๐Ÿ˜…
 
Wapenzi watazamaji tunasubiri muendelezo ๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ